Napumzika mapenzi mwaka mmoja

Napumzika mapenzi mwaka mmoja

Naona dalili za kuongeza namba za wabakaji hapa
 
nafikiri unapumzika mapenzi si mgegedo na sio mgegedo
 
mwaka ni muda mfupi sana kupoza maumivu... fanya angalau miaka mitatu hivi ndo utapona majeraha ya mapenzi
 
Nick alikulambiamdogowako nini

Angempata mdogo wangu wala asingeamua husitisha mapenzi maana angepewa somo la kufundwa. Huyu ni wale wa huni wa kubatibu na kusepa tuu... Hana tofauti na PANYA ROADS
 
Duh...jamaa anapumzika mapenzi...haya malimwengu????
 
mwaka ni muda mfupi sana kupoza maumivu... fanya angalau miaka mitatu hivi ndo utapona majeraha ya mapenzi

Sijatendwa, tuliachana peacefully. Tulifikia point tukadefine our future tumebaki kuwa marafiki tu
 
hutaki mapenz au unaogpa vibuti?tuweke wazi bhana kwan vbuti kwa mwanaume kawaida.
 
mxiiiiii vyuo vmeanza kufungwa mmeshapigwa visendle mnajfanya mapenz mapenz chukua wa mtaan
 
mxiiiiii vyuo vmeanza kufungwa mmeshapigwa visendle mnajfanya mapenz mapenz chukua wa mtaan

Eti vyuo vimefungwa, km ni raha mnfyuuuuuu mwenyewe. Hebu soma post ya mwezi gani hii?
 
Back
Top Bottom