Sina pa kwenda
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 113
- 15
Habari zenu wanajamvini, majuzi nilitoa hela Tigo pesa 500,000 nkampa huyo rafiki yangu azihesabu coz nilikuwa nadrive zen achukue mkopo anaotaka maana aliniambia hana hela anataka nimkope, kwenye gari kulikuwa na dada mwingine sasa wakati yule shost anahesabu hela akanipa laki mbili yeye akachukua laki tatu sasa ikafika muda wa malipo nkambwambia unajua nakudai laki tatu akasema no nilichukua laki mbili nkwambia tumuulize yule dada mwinigne ambae alikuwepo akasema alinipa mie laki mbili na yeye kuchukua tatu,
Basi nkasema nimeingia hasara laki kwa urafiki ni issue ndogo sana nkapotezea sasa jana mchana nkawa nampigia simu as you friends coz tulizoea kusalimiana nkakutana simu haipatikani sasa jioni tulipoona nkamuuliza vipi mbona nimekupiga mchana sijakupata akaniambia nimekublock kozi unaleta njaa zako na kunisingizia kama ulikuwa unataka kunikopa si ungesema kuliko kunisingizia umenipa laki tatu daaah nilijisikia vibaya sikujibu kitu kbs! Hivi jaman mtu kama huyu unamfanyaje? Mie nkajisemea kimoyomoyo Mungu kama nimekosea mie show me ila kama ni yeye amuonyeshe coz siwez kupoteza urafiki coz of 100,000/= maana siku nyingine huwa tunapeana hela tunanunuliana vitu! Yaan kakasirika as if kweli nimemsingizia