Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

Ha ha ha ha ha haa...jf mwisho wa yote.pole mkuu .mwe.sijui hayt nikusaidiaje.ila ndo ulivyo mwe.wengne hukaa kimya..wengne hulia.wengne hu hema sana..wengne wanatukana majina ya x zao wote.wengne yesu yesu nyng..yaan kila mtu na lake.
 
kaka bora hata wewe unaunguruma. Kuna mmoja alifika kileleni akaanza kuniita jina langu kwa sauti: man... manku...mankumbi mankumbi.. maaa... mankuuuuumbiiiii....aaaaah...aaaaaaaaaaah halafu akadondoka kama gunia akalala fofofo. Mbona starehe yote iliniisha? Toka siku hiyo nilikoma uzinzi. Imagine kwenye ile gesti kungekuwa na mtu ananijua.

Ni mkeo au?
 
kama kakurecord nendeni mkawauzie sumsung au nokia changamkia fursa hiyo.
 
Mi naona ni kawaida kwa mtu awe mke au mme kutoa sauti ila siyo ya kupitiliza,
Inawezekana mwenzako kakurekodi kwa ukaribu sana na wakati wa kusikiliza akaweka sauti kubwa ili ikutishe uache hiyo tabia,maana inamkera.
Kama umefikisha umri wa kuoa,nakushauri oa afu hilo tatizo mtalimaliza na wife wako,bila kutishiana kuachana.
maana mtasaidiana kunako 6/6,Viginevyo waone madaktari wanaoitwa gynacologist(sina uhakika na hizo spelling)
lakini wapo madaktari waliosomea mambo ya ndoa na viambata vyake wanaweza kukusaidia,ukienda kwa mganga utaambiwa una jini mahaba.

Gynacologist ni daktari wa magonjwa ya wanawake. Anahusiana nini na tatizo la jamaa??
 
Sasa rafiki yangu kama ndo unaishi vyumba sita itakuwaje?
Si watoto watakupa majina ya wanyama wote;

Jitahidi uwe unatuliza akili ili ujue kinachoendelea, ina maana wewe unazima kabisa?
 
Hahahahahaha.......yaani huu uzi umenifanya nionekane kichaa kwa kicheko hapa.....
 
HABARI GANI MARAFIKI HUMU NDANI NI MATUMAINI MU WAZIMA WA AFYA NJEMA.

Nakuja mbele yenu ili niweze kupata ushauri juu ya hili tatizo linalonikabili la ninapokaribia kufika kileleni (mshindo) naanza kuunguruma na miungurumo hiyo si ya kawaida ni ile inayofanana na wanyama kama simba, chui, mbuzi beberu, paka au mbwa na wakati mwingine hugugumia kama njiwa nk.

Tatizo hili lilianza kipindi cha nyuma kidogo na ex-girlfriend alinipigia sana kelele kuhusu tatizo hilo lakini sikumwelewa sasa huyu wa sasa hivi amenishikia bango na kudai nisipobadilika basi nijue sina mda mrefu nae kwani huko kuunguruma kuna mkera sana na kwa kunithibitishia hilo juzi kati tukiwa kwenye malavi davi alichukua kilonga longa chake akakiseti kwenye record ile tunaanza akabofya button ya kurekodia nisijue nini kinaendelea.

Baada mchezo wenye ushindi wa magoli matatu ndipo aliponiambia kwamba leo alikuwa na zoezi moja tu la kunirekodi huku nikimpuuza kwa hayo aliyoniambia kwani ni kweli huwa naunguruma lakini si kama anavodai, baada ya zoezi hilo aliifungulia simu na kuweka sauti juu kabisa kwakweli sikuweza kuamini kilichotokea yaani katika magoli yote niliweza kubadili miungurumo mitatu ya wanyama tofauti tofauti yaani iliogofya sana nikaone hapana niende jamvini nikatoe lililonisibu huenda nikapata pa kuanzia kwani mpaka sasa sijui nianze kwa vigagula au hospital.

Wakati unaanza malavidavi hakikisha unafunga mdomo kwa mpira wa manati au plasta inaweza kusaidia kupunguza vibration. Na pia inaonekana unapoelekea utaanza Kubweka wow!wow! Huku unasex jitambue
 
HABARI GANI MARAFIKI HUMU NDANI NI MATUMAINI MU WAZIMA WA AFYA NJEMA.

Nakuja mbele yenu ili niweze kupata ushauri juu ya hili tatizo linalonikabili la ninapokaribia kufika kileleni (mshindo) naanza kuunguruma na miungurumo hiyo si ya kawaida ni ile inayofanana na wanyama kama simba, chui, mbuzi beberu, paka au mbwa na wakati mwingine hugugumia kama njiwa nk.

Tatizo hili lilianza kipindi cha nyuma kidogo na ex-girlfriend alinipigia sana kelele kuhusu tatizo hilo lakini sikumwelewa sasa huyu wa sasa hivi amenishikia bango na kudai nisipobadilika basi nijue sina mda mrefu nae kwani huko kuunguruma kuna mkera sana na kwa kunithibitishia hilo juzi kati tukiwa kwenye malavi davi alichukua kilonga longa chake akakiseti kwenye record ile tunaanza akabofya button ya kurekodia nisijue nini kinaendelea.

Baada mchezo wenye ushindi wa magoli matatu ndipo aliponiambia kwamba leo alikuwa na zoezi moja tu la kunirekodi huku nikimpuuza kwa hayo aliyoniambia kwani ni kweli huwa naunguruma lakini si kama anavodai, baada ya zoezi hilo aliifungulia simu na kuweka sauti juu kabisa kwakweli sikuweza kuamini kilichotokea yaani katika magoli yote niliweza kubadili miungurumo mitatu ya wanyama tofauti tofauti yaani iliogofya sana nikaone hapana niende jamvini nikatoe lililonisibu huenda nikapata pa kuanzia kwani mpaka sasa sijui nianze kwa vigagula au hospital.

utakua na nyota ya chura wewe.
 
habari gani marafiki humu ndani ni matumaini mu wazima wa afya njema.

its normal,, go ahead,, as long as you dont get wild.,, usimtafune tu huyo mama.
 
Next time embu jitahd uungurume kama ppaka jike tuone....
 
HABARI GANI MARAFIKI HUMU NDANI NI MATUMAINI MU WAZIMA WA AFYA NJEMA.

Nakuja mbele yenu ili niweze kupata ushauri juu ya hili tatizo linalonikabili la ninapokaribia kufika kileleni (mshindo) naanza kuunguruma na miungurumo hiyo si ya kawaida ni ile inayofanana na wanyama kama simba, chui, mbuzi beberu, paka au mbwa na wakati mwingine hugugumia kama njiwa nk.

Tatizo hili lilianza kipindi cha nyuma kidogo na ex-girlfriend alinipigia sana kelele kuhusu tatizo hilo lakini sikumwelewa sasa huyu wa sasa hivi amenishikia bango na kudai nisipobadilika basi nijue sina mda mrefu nae kwani huko kuunguruma kuna mkera sana na kwa kunithibitishia hilo juzi kati tukiwa kwenye malavi davi alichukua kilonga longa chake akakiseti kwenye record ile tunaanza akabofya button ya kurekodia nisijue nini kinaendelea.

Baada mchezo wenye ushindi wa magoli matatu ndipo aliponiambia kwamba leo alikuwa na zoezi moja tu la kunirekodi huku nikimpuuza kwa hayo aliyoniambia kwani ni kweli huwa naunguruma lakini si kama anavodai, baada ya zoezi hilo aliifungulia simu na kuweka sauti juu kabisa kwakweli sikuweza kuamini kilichotokea yaani katika magoli yote niliweza kubadili miungurumo mitatu ya wanyama tofauti tofauti yaani iliogofya sana nikaone hapana niende jamvini nikatoe lililonisibu huenda nikapata pa kuanzia kwani mpaka sasa sijui nianze kwa vigagula au hospital.

hahahahhahhah... najua si ya kucheka btmhh yako kali... I think ni jinsi utacontrol your mind tuu n change ur reaction ukifka hyo point.
 
Back
Top Bottom