haaaaaahhaabora hiyo nasikia kuna jamaa yeye yake ananguruma "Claaaaaaaaaaaaaaaaauz efem!"
haaaaaahhaabora hiyo nasikia kuna jamaa yeye yake ananguruma "Claaaaaaaaaaaaaaaaauz efem!"
Engine ya landrover LMFAO..
Wahi kwenye delivarance
Kifimboplayer weka MP3 aliyokurekodi tukupe ushauri mzuri!
Kwenye delivarance atajielezaje? Akimaliza kujieleza watamwambia aache uzinzi aoe na tatizo lake litaisha.Wahi kwenye delivarance
cha muhimu acha uzinzi! suluhisho sahihi..
hiyo labda ukamwone mtoto wa sheh yahya,huenda atakutoa majini.au kanisani.