Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

kaka bora hata wewe unaunguruma. Kuna mmoja alifika kileleni akaanza kuniita jina langu kwa sauti: man... manku...mankumbi mankumbi.. maaa... mankuuuuumbiiiii....aaaaah...aaaaaaaaaaah halafu akadondoka kama gunia akalala fofofo. Mbona starehe yote iliniisha? Toka siku hiyo nilikoma uzinzi. Imagine kwenye ile gesti kungekuwa na mtu ananijua.
 
jf kiboko mnazidi kutanua mbavu zetu, manake sipati picha huo muungurumo unavyoanza taratibu nakuishia kisimbasimba
 
usibadlike itakuja kukusaidia siku ukienda camping serengeti. wanyama watajua neighbourhood issues.
 
Hahahaaa nimecheka sana.. Kuna jamaa yangu yy anaunguruma kama mlio bunduki..unaweza dhani kuna move

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

he he, bunduki zipi sasa za kizungu au zile za muvi za kihindi zinalia ...Pichuuuuu, pichuuuuuu
 
Hahahahahahahahahahahaaaaaaa eti mara paka,oh simba mara chui unatisha kweli huenda ww c mtu kamili daah hapo mtu atachomoka nduki, yaani nimecheka hadi chozi
 
Nashindwa hata kuchangia. Naishia kucheka tu jamani..
 
Utakuwa na elements za wanyama aisee. Hakuna dawa hapo labda utafufe mwenye kuunguruma Kama wewe!
 
Bola we unanguruma kuna wengine wakifika kileleni wanakunya kabisa
 
Taja aina ya mlio wa mnyama Kwa kila goli ktk hayo matatu ili ushauriwe vyema!
 
HABARI GANI MARAFIKI HUMU NDANI NI MATUMAINI MU WAZIMA WA AFYA NJEMA.

nakuja mbele yenu ili niweze kupata ushauri juu ya hili tatizo linalonikabili la ninapokaribia kufika kileleni (mshindo) naanza kuunguruma na miungurumo hiyo si ya kawaida ni ile inayofanana na wanyama kama simba, chui, mbuzi beberu, paka au mbwa na wakati mwingine hugugumia kama njiwa nk.
Tatizo hili lilianza kipindi cha nyuma kidogo na ex-girlfriend alinipigia sana kelele kuhusu tatizo hilo lakini sikumwelewa sasa huyu wa sasa hivi amenishikia bango na kudai nisipobadilika basi nijue sina mda mrefu nae kwani huko kuunguruma kuna mkera sana na kwa kunithibitishia hilo juzi kati tukiwa kwenye malavi davi alichukua kilonga longa chake akakiseti kwenye record ile tunaanza akabofya battan ya kurekodia nisijue nini kinaendelea. Baada mchezo wenye ushindi wa magoli matatu ndipo aliponiambia kwamba leo alikuwa na zoezi moja tu la kunirekodi huku nikimpuuza kwa hayo aliyoniambia kwani ni kweli huwa naunguruma lakini si kama anavodai, baada ya zoezi hilo aliifungulia simu na kuweka sauti juu kabisa kwakweli sikuweza kuamini kilichotokea yaani katika magoli yote niliweza kubadili miungurumo mitatu ya wanyama tofauti tofauti yaani iliogofya sana nikaone hapana niende jamvini nikatoe lililonisibu huenda nikapata pa kuanzia kwani mpaka sasa sijui nianze kwa vigagula au hosp.

Duh! Mwanagu hapa sina mbavu ila napenda kujua una umri kani mkuu?
 
Yaani katikati ya dozi amepata nafasi ya kuchukua simu na kutafuta option ya kurekodi.. Mbali na kukoroma mkuu utakuwa na kabamia kasichokuwa na uwezo!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom