Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

mkeo angekua mjasiliamali,hiyo miungurumo angeweza uza kama 'ringtones' mngepia hela na kufurahia ndoa yenu.
 
HABARI GANI MARAFIKI HUMU NDANI NI MATUMAINI MU WAZIMA WA AFYA NJEMA.

nakuja mbele yenu ili niweze kupata ushauri juu ya hili tatizo linalonikabili la ninapokaribia kufika kileleni (mshindo) naanza kuunguruma na miungurumo hiyo si ya kawaida ni ile inayofanana na wanyama kama simba, chui, mbuzi beberu, paka au mbwa na wakati mwingine hugugumia kama njiwa nk.
Tatizo hili lilianza kipindi cha nyuma kidogo na ex-girlfriend alinipigia sana kelele kuhusu tatizo hilo lakini sikumwelewa sasa huyu wa sasa hivi amenishikia bango na kudai nisipobadilika basi nijue sina mda mrefu nae kwani huko kuunguruma kuna mkera sana na kwa kunithibitishia hilo juzi kati tukiwa kwenye malavi davi alichukua kilonga longa chake akakiseti kwenye record ile tunaanza akabofya battan ya kurekodia nisijue nini kinaendelea. Baada mchezo wenye ushindi wa magoli matatu ndipo aliponiambia kwamba leo alikuwa na zoezi moja tu la kunirekodi huku nikimpuuza kwa hayo aliyoniambia kwani ni kweli huwa naunguruma lakini si kama anavodai, baada ya zoezi hilo aliifungulia simu na kuweka sauti juu kabisa kwakweli sikuweza kuamini kilichotokea yaani katika magoli yote niliweza kubadili miungurumo mitatu ya wanyama tofauti tofauti yaani iliogofya sana nikaone hapana niende jamvini nikatoe lililonisibu huenda nikapata pa kuanzia kwani mpaka sasa sijui nianze kwa vigagula au hosp.

Njo ufanyiwe maombii
 
ukienda kwa wataalamu watakuambia una majini kama subiani, ngurumo. manjonjo na kuyaondoa inabidi zoezi lifanywe miaka mitatu bila kuikaribia hicho kitu hadi uoe
 
Aiseee, duniani kuna vituko, lakini vituko vya dunia ya jf ni mwisho wa matatizo.
 
hiii kitu hii kitu hiiiiiii, kwel noma unaunguruma kama simba nk?, hapo hakuna dawa mkuu lambda ujiuzuru na hiyo kitu! ukishindwa wa ubav wako awe mpole
tu.
 
Pole mkuu me nashindwa hata cha kukushauri inawezekana wapo wengi waungurumaji ila ndo hawajijui!
napita
 
Back
Top Bottom