Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

Majini ndo huwa na tabia ya kuunguruma na kumpotezea mtu utambuzi wanapopanda kichwani. Isije ikawa wakati unapofika kileleni jini anapanda
 
hawakupendi hao wanaume mkifika mshindo mna vituko vyenu wengine mpaka unawaonea huruma mwingine analia.
Daaa embu nnyamaze mie mapenzi kuvumuliana jamani sasa kama hawezi kuvumilia vijisekunde vya muungurumo mengine ataweza.
 
wa kwanza alijitahidi kunivumilia
 
Kwani ni lazima ufike kileleni? Wazungu wakitaka kuja waulie ndani kwa ndani
 
hawakupendi hao wanaume mkifika mshindo mna vituko vyenu wengine mpaka unawaonea huruma mwingine analia.
Daaa embu nnyamaze mie mapenzi kuvumuliana jamani sasa kama hawezi kuvumilia vijisekunde vya muungurumo mengine ataweza.

Umenikumbusha dada mmoja aliwahi kuniuliza.. "Hivi kwanini wanaume huwa mnalia mkiwa mnafika mshindo?!" Nikamshangaa kweli.. akasema boyfriend wake huwa analia kweli hadi akimaliza anaanza kufuta machozi!!
Huyu nae anaunguruma kama bundi.. hehehee eheeeee...
 
Pole sana kwa tatizo, na ninakusifu kwa ujasiri wako wa kuleta mada hii. Hili jambo ni tatizo lakini sio ugonjwa. Tatizo hili linatokana na sababu nyingi sana, lakini sababu kubwa ni pale unapokaribia kukojoa, kuna reactions zinazotokea ndani ya mwili kupelekea kutoa zile mbegu, sasa reaction hizo zina nguvu na kusababisha mzunguko wa damu kuwa wa haraka ndo maana mapigo ya moyo yanaongezeka, sasa kitendo hicho kina kinakua hakipeleki Oxygen inavotakikana kwenye different tissues za mwili, na pia Carbon dioxide inakua inakatika yaana inakua ndogo kutokana na kishindo hicho cha kutaka kukojoa, sasa inapokata hiyo Carbon dioxide ndipo tatizo linapoanza kutokea kwenye mfumo mzima wa kuhema, na pia kusababisha Nervous System kuwa formed, ndipo kusababisha hali hiyo ya kung'uruma. Hewa inavozidi kua ndogo ndani ndo sauti inapokua kubwa zaidi. Na pia inaendana na tatizo la Psychology pia. chakufanya, kama ni mvutaji sigara basi acha mara moja, pendelea kupata usingizi wa kutosha si chini ya masaa 8 kwa siku mda mzuri ni kwanzia saa tatu usiku hadi saa kumi na moja alfajiri, piga sana mazoezi hasa ya kukimbia kuogelea na ya viungo yaan ya kujinyoosha, kunywa maji kwa siku lita si chini ya 5 pale unapoamka tu kabla hujala chochote tumia lisaa limoja kunywa maji na hakikisha unakunywa lita moja. acha kuangalia video za ngono, na kula sn matunda hasa yale ya maji km machungwa, matikiti na ma apple. kula asali ambayo ichanganye na tangawizi na manjano kutwa mara 3, achana na misosi ya mafuta hlf piga sn vegetables na salad. tatizo likiendelea muone daktari wa saikolojia. Kila la Heri.
 
Reign Lord Jesus Reign *2
You are the Lion of Judah, Mountain of Zion
Reign Lord Jesus Reign.

Bwana Tawala *2
Wewe ni Simba wa Yuda, Mlima wa Sayuni
Bwana Tawala

(umenikumbusha hio chorus, hope waijua)

Wahi kwenye delivarance
 
Back
Top Bottom