Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

Sipati picha, dume zima linamu-ungurumia demu (kama guluwe) kifuani! Wadada mna kazi. Lol....!
 
duuuu unaungurumaa saut za wanyamaa.....! nawacwac na wewe....! ila wacha nipite tu!
 
those are demons my dear majini hujitokeza wakati ufahamu wa mtu unapotoweka kama usingizini ukiwa kileleni kwenye kufanya mapenzi ukizama sana kwenye maombi au maombezi so kuna two option one nenda kwa mtaalamu wa kutoa majini utolewe two nenda kwenye maombi ukaombewe ila tatizo lako sio la hospital maana mwanadamu wa kawaida hawezi kuunguruma hivyo unavyo fanya wewe rabda kama unaigiza na why ulikua hujielewi mpaka unapowekewa audio usikilize jiwahi kabla mambo haya jawa mabaya zaidi for more details ni pm
 
Kifimboplayer

Jaribu kwanza kushindilia kipande cha sponge mdomoni ukianza kugegeda!!! Kinaweza kumeza sauti ya MINGURUMO! Tatizo likizidi KAMUONE DAKTARI
 
Last edited by a moderator:
Matatizo kama haya huwapata sana vijana wa machungani hasa mnapojikuta kwenye mahusiano na watoto wa mjini...hebu jaribu kubadili girlfriend,tafuta mtoto mmoja wa kienyeji (wa mfugaji) nenda naye machungani,omba 'ile kitu nammesaga mwenzie' kisha uone kama utatoa tena milio ya kondoo!...
Dah! Mkuu umenichekesha sana, ile kitu namesaga mwensie.


Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Mbona una miungurumo sana, hadi kutoa ushauri tunashindwa maana unaungura kama wanyama hadi kama njiwa hilo ngoli huwa linatoka la dk ngapi hadi milio yako ibadilike hivyo.
Kifimboplayer
 
Last edited by a moderator:
utakuwa unaishi porini au umekaa sana na wanyama mpaka umeiga tabia zao
 
Hapo ushauri ni wewe mwenyewe kujielewa kuwa unatakiwa kufanya nini. Jaribu kuanza kwa kufunga mdomo wakati unafanya
 
hawakupendi hao wanaume mkifika mshindo mna vituko vyenu wengine mpaka unawaonea huruma mwingine analia.
Daaa embu nnyamaze mie mapenzi kuvumuliana jamani sasa kama hawezi kuvumilia vijisekunde vya muungurumo mengine ataweza.


Vituko vya JF wakati mwingine ni zaidi ya commedy....

Hao wanawake wanataka kumharibu kijana wa watu....

Enzi za ujana wangu kuna mtu alinambiaga kuwa kuunguruma ni dili...... apige kimya kimywa kwani kamwibia mtu au katiwa maji mdomoni??

Ina manaa siku hizi hilo dili limegeuka kuwa laana??

Kama ni hivyo basi dotcom wana vitimbi...lol!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom