Napitia kipindi kigumu sana, naomba msaada wenu wana JamiiForums

Napitia kipindi kigumu sana, naomba msaada wenu wana JamiiForums

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,725
Reaction score
13,724
Wakuu, sijawahi kupitia unyonge, upweke na wasiwasi kama huu ninaopitia hivi sana. Mpenzi wangu ni mwanachuo katika chuo mkoa X, wanakatazwa kutumia simu, huwa anatumia simu za walimu wake akitaka kuongea na mimi. Sasa ni wiki ya tatu hanitafuti, moyoni naumia sana mwenzie, nampenda, sijaona SMS yake wala call yake for 3rd week, naombeni ushauri, maana ninakoelekea sikujui.​
 
Yaan wewe jamaa hueleweki kabisa 🙌, nahisi kuna kitu hakipo sawa mahali
Huyu itakua huenda hana kazi yakufanya, kajikatia tamaa ya maisha au jamii inayomzunguka haimpi umuhimu.

Ndio maana kutwa anaanzisha mada za hovyo hovyo hapa JF ili japo na yeye ajifariji, watu wakiwa wanachangia mada zake anakua anafarijika sana na kujiona kua kumbe bado ana umuhimu fulani hivi.
 
Huyu itakua huenda hana kazi yakufanya,kajikatia tamaa ya maisha au jamii inayomzunguka haimpi umuhimu,

Ndio maana kutwa anaanzisha mada za hovyo hovyo hapa JF ili japo na yeye ajifariji,watu wakiwa wanachangia mada zake anakua anafarijika sana na kujiona kua kumbe bado ana umuhimu fulani hivi.
Na Pengine ana shida ya afya ya akili 🙌
 
Huyu itakua huenda hana kazi yakufanya,kajikatia tamaa ya maisha au jamii inayomzunguka haimpi umuhimu,

Ndio maana kutwa anaanzisha mada za hovyo hovyo hapa JF ili japo na yeye ajifariji,watu wakiwa wanachangia mada zake anakua anafarijika sana na kujiona kua kumbe bado ana umuhimu fulani hivi.
Mimi ni wakala wa huduma za kifedha kijijini kwetu mkuu.
 
Back
Top Bottom