Napitia kipindi kigumu,naomba ushauri na msaada pia

Habari zenu wakuu?

Mimi ni kijana wa kitanzania,nimekulia kwenye familia ya kipato cha kawaida sana,japo mzee alipenda sana watoto wake tusome lakini naona kuna ugumu katika safari hii ya elimu,hasa kipindi hiki cha mwishoni

Katika familia yetu Mimi ni first born na wadogo zangu wa kike wanne,nipo chuo last year fani ya maabara anayenifata pia yupo diploma anasoma forensic science(inahusiana na mambo ya postmortem)

Mwaka huu kidogo hali ya kiafya ya mzee ilikaa vibaya ,kwahiyo majukumu yote ya nyumbani yakawa yangu,nashukuru baadhi ya ndugu wananisaidia japo Mara chache sana,hivyo budget yangu ikayumba kidogo kwani ilibidi nitumie kiasi flani(laki 2) ambacho nilipanga awali nilipe ada

Option ya kwanza,nimekuja kuomba msaada kama nikipata mtu akiniazima kiasi hicho najua baadae mambo yakiwa vizuri nitamrudishia kwa makubaliano ya kukaa na cheti chang u kwa huo muda,

Option ya pili ,nimewaza kuuza simu(techno pop 1 kwa laki moja na elfu 30,nimeitumia miezi miwili tu,documents zote na accessories zipo? ninayotumia ili nipate kiasi flani cha fedha ,japo ndio ninayotumia kusomea notice ila sina namna

Nakaribisha ushauri na mawazo

Niite pm if you want more detailsView attachment 1040294View attachment 1040295View attachment 1040296View attachment 1040297

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikia.. Usiuze sim hilo ni jembe, cha kufanya nenda mahala kama kanisani kmpange mchungaji au Msikitini then ajaribu kutangaza naamini utafanikiwa.. Kuuza sim kutakuongezea stress na utashindwa kupata hela nyingine..

Jitahidi sana ukikwama kuuza sim iwe ni option ya mwisho kabisa

Nitajaribu kanisani but muda mwingi huwa nasalia chuoni ambapo members of church ni wanafunzi kama mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu?

Mimi ni kijana wa kitanzania,nimekulia kwenye familia ya kipato cha kawaida sana,japo mzee alipenda sana watoto wake tusome lakini naona kuna ugumu katika safari hii ya elimu,hasa kipindi hiki cha mwishoni

Katika familia yetu Mimi ni first born na wadogo zangu wa kike wanne,nipo chuo last year fani ya maabara anayenifata pia yupo diploma anasoma forensic science(inahusiana na mambo ya postmortem)

Mwaka huu kidogo hali ya kiafya ya mzee ilikaa vibaya ,kwahiyo majukumu yote ya nyumbani yakawa yangu,nashukuru baadhi ya ndugu wananisaidia japo Mara chache sana,hivyo budget yangu ikayumba kidogo kwani ilibidi nitumie kiasi flani(laki 2) ambacho nilipanga awali nilipe ada

Option ya kwanza,nimekuja kuomba msaada kama nikipata mtu akiniazima kiasi hicho najua baadae mambo yakiwa vizuri nitamrudishia kwa makubaliano ya kukaa na cheti chang u kwa huo muda,

Option ya pili ,nimewaza kuuza simu(techno pop 1 kwa laki moja na elfu 30,nimeitumia miezi miwili tu,documents zote na accessories zipo? ninayotumia ili nipate kiasi flani cha fedha ,japo ndio ninayotumia kusomea notice ila sina namna

Nakaribisha ushauri na mawazo

Niite pm if you want more detailsView attachment 1040294View attachment 1040295View attachment 1040296View attachment 1040297

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni mwema atakusaidia katika tatizo lako linalo kukabili
 
Duuuh, pole sana! Binadamu wakati fulani tunapitia mambo magumu sana. Ambaye hajawahi pitia magumu ataleta mzaha hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli brother, hasa kwa sie first born ,mzee mambo yakikwama inabidi ushike usukani,wakati mwingine nawaza bora nisingesoma tu ili niwatafutie hela hawa wadogo zangu wasome vizuri,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom