Asante sana kakaPole sana mdgo angu Mungu akutete mimi hapa nilipo sina neno niko kama nilivyo
Pole sana mdgo angu Mungu akutete mimi hapa nilipo sina neno niko kama nilivyo
Naam, nyumbani Mwanza
Ok
Ok
Yaani home of great thinkers bado tuna house girl wa namna yako?!?!Pole sana ukikosa humu nenda kanisan utachangiwa ukikosa kanisan we nenda direct magogoni eleza shida yako rais wetu ni rais wa watu pesa kitu gani bhana atakusaidia
Usikate tamaa tia maguu ikulu
Mkuu pole sana. Kipindi cha mpito hicho kitapita.
Njoo chemba tuongee kidogo
TALA kiwango cha mwisho ukiwa unaanza ni elf ishirin so hiyo laki mbili ataikopa vp.TALA.
We umemshauri lipi??Yaani home of great thinkers bado tuna house girl wa namna yako?!?!
We unadhani Ikulu ni sokoni au Bar?!?!
Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
Mkuu naisikiaga tu humu JF elfu 20duh.TALA kiwango cha mwisho ukiwa unaanza ni elf ishirin so hiyo laki mbili ataikopa vp.
BTW pole sana mkuu mtoa Uzi km ww ni muislam jarib kwenda mskitini waelezee viongozi watakusaidia hata kanisan pia
Sent using Jamii Forums mobile app