Napitia katika changamoto kubwa

Na Hii ndo inamtesa sana.Angejua wapo wa miaka 40,Na Bado waa matumaini Na Raha tele asingeteseka.Na siku akiacha kuyawaza Haya Na kuendelea Na maisha yake ndo siku atakayopata mahitaji yote.Kikubwa ni kuomba Bila kuchoka.Mume atatokea Automatically tha is Law of Nature.(Wengi hawajui hili)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni stress za agemates wake akiwaona wameshaolewa basi anahisi kachelewa kwelikweli
 
Sipati picha hyo pm yako itakavyojaa mwezi huu wote
. Anyway,ndugu yangu janga la kuchelewa sio lako peke yako yaaani wasichana nnaowajua mm wenye huo mtihani kama wako ni wengi mno wengine ni mabest zangu, wengine hadi wameshawaza kama ww, sitaki kusema cjui kuwa mvumilivu cjui acha haraka, kwa kweli kwa mwanamke ukishaanza kuvuka 28 its not easy anymore, na u desperate unakuingia haswaaa hata ukijipa moyo stil kuna taa nyekundu utakuwa unaiona. Ila ndugu yangu sikushauri kuzaa tena na mume wa mtu hapana, na umesema unasali sana ila ulishataka kujaribu kwa mume wa mtu, hebu omba toba kwa hilo. Na pili hebu jaribu kuvulia mpaka 35 kuna wadada kama watatu hv nimeshuhudia wakiolewa in their 38-40. Vumilia japo kuvumilia si jambo rahisi kama kulitamka. Me mwenyewe nilipofikisha 28 nikaanza mmh ila nashukuru Mungu ndipo akanikutanisha na husband wangu
 
nakusalimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo
Et usubiri hadi 40 ndo uende leba ha ha haaa ushauri wangu sio lazima upate unaemtaka ingekua hivyo maisha yangekua mepesi kwa kila mtu

NAKUSHAURI

tafuta mwanaume asie jiweza umuweke ndani muishi wote akuzalishe tu
Hilo la kutunza mwanamme nyumbani kwangu sitafanya. Mtoto nitalea ila kutunza mtu mzima ni kazi kubwa. Kama ni msaada tutasaidiana.
 
Bwana ni mwema sana kwa wakati wote anaokoa,

Je unasadiki nilichoandika. Ebu njoo pm nikusaidie kitu Kuna Kitabu kinaitwa "NGUVU YA MATUMAINI" kinakufaa sana kwa wakati huu.
 
Kweli penye miti hakuna wajenzi. Ati mwanadada anajiulizia mtu wa kumto ubikra na hapo hapo amsaidie mbegu. Wanawake, mmeshafikia hapo kweli?? Najiliza, huyu mdada ana sura gani?? Nadhani hata kama wewe ni sura mbaya, lakini umesema ni msomi mwenye kazi nzuri halafu huna mtu hata hapo kazini anayekuchungulia!!!! Is this possible kweli au maneno unataka kujua ka JF kuna vidume??
Swali, upo tiyari kumpokea mgeni kwako aje kukaa mpaka ahakikishe umeshiba ndio aondoke?? Kama upo tiyari nijibu kwa PM nije mwenyewe, na mtoto sina shida naye. Tena nakuhakikishia mi ni mtanashati na utatamani kunizungusha mji mzima wa Mwanza ili watu wamjue baba kijacho wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…