Napitia katika changamoto kubwa

amini katika kile unachokiamini mpendwa
1.Jipe muda
2.Usiwazie sana kuhusu hilo swala
3.But kwa perception ya walio wengi wataona unapoteza muda kuelezea kile kinachokutatiza moyo lakini ni heri umesema ili nafsi yako iwe huru be blessed binti
 
pale unapoanza kukata tamaa ndipo unapokaribia kupata,.. kuwa mvumilivu mda wako unakaribia wa kuitwa mke na kuitwa mama. Endelea kumlilia Mungu muweza wa yote.
 
amini katika kile unachokiamini mpendwa
1.Jipe muda
2.Usiwazie sana kuhusu hilo swala
3.But kwa perception ya walio wengi wataona unapoteza muda kuelezea kile kinachokutatiza moyo lakini ni heri umesema ili nafsi yako iwe huru be blessed binti
 
Kumbe na vyakujilengesha navyo vimo!
 
Basi waone Karismatiki Katoliki wakusaidie
 
Ambiele Kiviele mkuu naomba uwe mjomba wangu wa hiari nataka nimuoe mtoto huyu wa mwanza
Huu uzi ukiupitia kuna baadhi ya koment zinaflaisha sana

Ila kiukwer miaka 32 bado mdogo sana

Binafsi nina dada angu yeye kaolewa ana miaka 39 kwa muda wote huo alikuwa nyumban

Na mtt kapatia huo umri nw day ana watoto wawil na wanapendana sana na mume wake na wanamaisha mazur tuu

Mi huwa naamin kira jambo na wakat wake kikubwa kusari sana na kuwa na iman kwa icho ukifanyacho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na maelezo yake kuna mambo mawili ya msingi unapaswa kujua.Kila jambo lina wakati wake.Na usiwe na haraka.Swali lalini utaolewa lisikupe shida utaolewa tu na utapata watoto wengi sana sana sana.Kuhusu muda soon.....Ninachokushauri kwanza nifate PM maana kuna kitu nataka kukuuliza ambacho nafikiri nikikuuliza hapa nitakukosea heshima.NB.Ushauri nitakokupauufanyie kazi.
 
Aisee, real ? Life ianze at 40. Kumbuka kuna kitu kinaitwa menopause.
 
Nimesoma consern yako, kwani ulijiunga lini JF? Ninaweza kukupa msaada kidogo nakuja PM,nikaribishe tafadhali
 
Dada mi niko tayari kuzaa na wewe. Njoo PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 

My dia usipanic wkt wa Mungu ni wakati sahihi,kaa katika utakatifu amini ipo siku utapata ubavu wako,,,,,,,,,,,,nina wifizangu wameolewa na miaka34 kwa ndoa nzuri mno na mpk sasa wanauona ukuu wa Mungu
Tulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…