Napitia katika changamoto kubwa

Ha ha haa anamuomna Mungu hafu anajificha ndani bila shaka tusingelima kama ni rahisi ki hivyo anahitaji watu pm
 
Binti.... Binti.... tatizo lako unaharakia maisha. Na unaharakia kuolewa. Uliambiwa umri sahihi wa kuolewa ni upi??? Na maisha mbona ni zaidi ya Ndoa. Japo ndoa ni kitu chema. Umeweza kujitunza mda wote huo sasa unataka kutolewa Bikra na Mme wa Mtu???? Na umemkuta huyo Bwana ana ubinadamu. Mwingine mngekuwa mmeshamalizana siku nyingi. My take. Jitunze kama ulivyo. Mme wako yupo atakukuja kwa wakati sahihi na umri sahihi. Na kumbuka wakati wa Mungu ndiyi wakati sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu ingekuwa ni kuhama roman ningeshahama siku nyingi sana enzi natafuta kazi maana nilikaa 4years bila kazi. Na mimi kusoma biblia ni jambo ambalo ninafanya toka zamani kwani angalau huwa inanitia moyo pale ninapokuwa nimeshidwa kabisa. Nashukuru pia.
 
[emoji28][emoji28][emoji28] ila munachekesha saa ingine eti.
Unastahili kuchekwa mana sijui unamatatizo gani wewe hadi ukose marafiki chuo hadi kazini amboa wangekuelewa msimamo wako pole sana
 
A
Asante ndugu kwa moyo wako.
 
Nani alikwambia mme hatafutwi? Unajua ni wanawake wangapi wameolewa kwa jitihada zao? 35yrs ndo kikomo cha kubeba mimba kama hajawahi kuzaa so yupo ukingoni kama pesa anazo anaweza kujitolea mahari akaolewa na mwanaume suruali ila kama mkwanja hana anaweza olewa na mwanaume wa kawaida tu wapo wengi mtaani ikifika wkend abebe beseni la matunda atembee mitaa yenye vijana wengi huku akiwauzia matunda ya kila aina atatongozwa mpaka ashangae na Hao hohehahe ndo waoaji wenye pesa wanakula ujana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanifaa sana tatizo huwa siamin sana wanawake wa mitandao niko sirius wala sitanii na namshunuru mungu nimejenga nina kazi nzuri tuu ila sijahamia na mimi kinachoniumiza kichwa ni kama wewe ninapata wapi mwanamke wa kuishi nae nikijiangalia nilivyojibana hadi nilipofika kimaendelea nafika mahali naogopa hata kuoa maana kila siku rafiki zangu wananikatisha tamaa eti diku nikioa tuu narudi nyuma upya hicho ndo kinachonisumbua je?ni yupi nitaempata ambae atakuwa kama mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…