Napitia katika changamoto kubwa

Pole sana mpendwa usikate tamaa wakati wa Bwana ukifika atakupatia hitaji la moyo wako.
 
*[emoji870] MAMBO AMBAYO BINTI ANATAKIWA AYAEPUKE ILI KILA MWANAUME ATAMANI KUMUOA 🤭

Ujumbe huu ni muhimu sana kwako kwa unayopitia sasa!



[emoji871] Kabla sijaandika hayo mambo binti lazima ujue kwamba mwanaume kabla hajaamua kujilipua kwako anasoma hili andiko
[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]


[emoji433] *Mwenye busarahuyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia* .


Mithali 22:3


[emoji871] Mwanaume kabla hajafanya maamuzi ya kusema wewe unamfaa huchunguza mabaya yako .


[emoji871] Akiona unavituko anaweka alama

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]


[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]


Maana yake hufai kuwa mkewe.




[emoji524] Sasa naomba tuangalie vijitabia ambavyo binti unatakiwa uviepuke kabisa ili uwe wa kuvutia kisura na kitabia pia .Huku ukichanua kama

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]


[emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257]
Yaani rose flower kwa kila mwanaume anataka akuoe na inafikia hatua unashindwa kufanya maamuzi

Inabidi uingie rohoni kwenye

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

[emoji546][emoji915][emoji915][emoji915][emoji915][emoji915][emoji915]


Maana yake kwenye maombi umwulize Mungu kati ya hawa wanaonijia yupi mume wangu sahihi[emoji4][emoji4][emoji4]


[emoji871] JAMBO LA KWANZA

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

[emoji524] Epuka kuwa mwongeaji saana .


[emoji871] Kuna mabinti akianza kuongea na mwanaume anaongea kama cherehani yaani hapumziki .

Mwanaume anawaogopa sana binti wa aina hiyo.

Umesemeshwa kidogo tuu , ukaanza Ooooh sijui imefika wapi na wapi , Mara Oooh fulaniii yupo hivii

Acha tabia hiyo .



[emoji871] JAMBO LA PILI


[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]


[emoji524] Epuka sana mazoea ya haraka .


[emoji871] Mara tu ukutanapo na huyo mwanaume usioneshe kumzoea sana na kuongea naye kana kwamba ni shemeji yako atakukimbia [emoji1322]‍♂[emoji1322]‍♂[emoji1322]‍♂[emoji1322]‍♂



[emoji871] Wiki moja unaanza Oooh nimekumiss ,Oooh unamiradi gani , unabiashara gani , mara ooooh umekula nini

Acha ujinga [emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]


Usiharakie kumzoea sana



[emoji871] JAMBO LA TATU

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]


[emoji524] Epuka kuwazoea marafiki wa yule mwanaume .


[emoji871] Kuna mabinti mara tu wakutanapo na marafiki za mwanaume tayari kanaanza kiherehere cha kujichekesha ovyo .


[emoji1314] Yaani siku ya kwanza tu kanaomba namba za simu na za what's app .


Mwanaume akikuona tu na hiyo tabia anaweka alama

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]


[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]


Yaani hufai kuolewa


[emoji871] Hata marafiki zake watamwambia ,

Aiseeee jamaa yetu huyu mwanamke hakufai yaani ni mapepe mmmmh mara hii tu katuzoea [emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]

Mpige chini , tafta mke anayejiheshimu .

[emoji871] JAMBO LA NNE


[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]


[emoji524] Epuka kuweka picha zako mtandaoni sana ukiwa na mapozi ya kihuni , mara umebinua midomo , mara umeonyesha maziwa [emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]



[emoji871] Akikuona huko unajipost ovyo na likes 500 plus 200 comments tena wengi ni wanaume

Hapo ujue unajikosesha mume


[emoji871] JAMBO LA TANO

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

[emoji524] Epuka saana uvaaji unaopingana na imani yako .


[emoji871] Suruali na Kaptura pamoja nguo za kukuchora na kuanika mwili wako na vingine vingi ambavyo vinadhalilisha mwili wa mwanamke .


Epuka hayo ili kila mwanaume akuonaye aseme huyu ndiye ............



[emoji871] JAMBO LA SITA



[emoji524] Jiepushe na marafiki wasio na ushuhuda mzuri



Mwisho wa kunukuu [emoji871][emoji871][emoji871][emoji871][emoji871][emoji871][emoji871][emoji871]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi ningepata majibu ya haya maswali ningejua wapi pakuanzia.

1. Muonekano wako upoje? Mwanaume yeyote humpenda mtu kwa muonekano tu na mengine hufuata, je unahisi upo vibaya sana kimuonekano ndio maana no one is considering you?

2. Ukikutana na watu huwa una waongelesha vipi? Cjajua njia sahihi ya kukuuliza hili swali lakini namaanisha kuwa ukikutana na mtu wa kiume huwa ukiongea nae unakuwa katika hali ipi? Yaani mkali, unapanic, sura inakuwa haivutii au unakuwa kawaida tu

3. Hivi huwa hautongozwi au unatongozwa na watu unaoona hawakufai?

4. Kuna vitu vidogo vidogo vinafukuza wanaume. Mfano ukiwa na Iphone 6s nakuendelea huwa tunaona ur so expensive we cant afford you, ukiwa mzuri saaaaana pia siyo rahisi kila mtu kukufuata coz tuna hisi tutapangwa,

Nijibu tu hizo swali zangu mama

Huwa natamani kusikia saut zenu watu kama nyie au hata niwaone sura nijue nini tatizo. Maana nahisi nikikuona tu mara moja nitagundua shida ipo wapi. Any way watu wakuzaa nao wapo kibao ila na wenyewe sijui huwa wanabagua wakuzaa nao ila humu wapo watakao kubali maana tiali wanakujua nini shida yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daahh! It's so sad Kwa mtu uliyejitunza namna hiyo kupitia changamoto hizo. Hata hivyo, Mungu ni mwaminifu sana. Naamini asbh yako inakuja, huna haja ya kukata tamaa. Mungu hatutendei tutakavyo sisi, bali jinsi yeye aonavyo vyema Kwa utukufu wake. Usijivunjie heshima Kwa namna yoyote, bali kuwa mvumilivu umsubiri Mungu atafanya. The only thing I can advise.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipati picha hayo mabazazi yalivyojazana huko PM kwako yakipambana kupewa ruhusa ya kuivunja bikra yako!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekuwa wewe ungeweza kuvumilia nyege miaka 30?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo inawezekana kwa muonekano wako Wa inje na imani yako hujui kujisitiri,yaani Wenda mavazi yako yanakufanya uonekane kama Malaya.Ukitaka kuolewa kwanza jua kujistiri,vaa nguo za heshima,na kuhusu kumtafuta mwanaume Wa kuzae naye utakuja jilaumu sana huko mbeleni
 
nina ugwadu sijabandua demu siku nyingi.
kama upo tayari njoo tuzungumze.
 
Sehemu pekee ulokosea ni hapo ulikoweka limitation ktk dini.....unapomuomba Mungu usiweke kiulizo chochote we pokea vile majibu yanakuja......angeweza kuja muislam na akawa ndo nwenye ulikuwa unamtaka.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada angu hongera kwa kujitunza me nkushauri tu omba amani ya moyo na kila jambo lina mda na wakati wake Plz usipanic utapata familia bora kabisa Mungu hashindwi Dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…