Napitia Changamoto ya kuchukiwa na watu bila sababu

Zingatia viti muhimu kwenye jamii;
1. Heshimu watu wote.
2. Shiriki shughuli za kijamii kwa kadri utakavyoweza.
3. Tii sheria za nchi na maamuzi ya mamlaka halali za pale unapoishi.

Ukishatimiza hayo, umemaliza wajibu wako. Swala la watu kukupenda au kutokukupenda usilipe nafasi kubwa. Wala hauna sababu ya kujua kama mtu anakupenda au hakupendi. Haugombei nafasi ya kupigiwa kura, unaishi maisha yako.

Fahamu kuwa lipo kundi la watu ambao watakuchukia kwa sababu unafanya vizuri na wengine watakuhurumia na kukuonyesha upendo kwa sababu umeharibikiwa. Kwahiyo kuchukiwa inaweza kuwa dalili ya mafanikio.
 
Acha ujinga ishi maisha yako. Wabongo akikuchukia mmoja kutokana na sababu zake mwenyewe binafsi basi atakusagia kunguni na kukuzushia uongo ili mtaa mzima ukuchukie. Na wabongo wengi wasivyo na akili na hata kufanya uchunguzi na kujiridhisha walichoambiwa hawana muda wao wanaanza kukuchukia mara moja. Utasikia simpendi yule mama/baba ukimuuliza sababu hana sana sana utasikia namchukia basi tu. Na ukitaka kujua hii ni tabia ya asili ya wabongo hayo mambo yapo maofisini, mitaani, kwenye nyumba za ibada, kwenye vyama vya siasa, kwenye familia, n.k.

Kikubwa timiza wajibu kama mdau mmoja alivyosema hapo juu kama vile ujitahidi kuhudhuria misiba mtaani na shughuli nyingine za kijamii mtaani kwako na shiriki kikamilifu kwa kufanya shughuli na wenzako kama kupika, kuosha vyombo, n.k.. Pia epuka sana mtu anayekuja kwako na kuanza stori za kuanza kuwasema wengine ujue huyo kaja kukuchuuza ukichangia tu umekwisha kwani akienda anapeleka taarifa kwa watu ulichokisema lakini yeye aliyeanzisha mada ya kwake hatayasema.

Mwisho ishi maisha yako ili mradi tu haumizi wengine na usitake kupendwa na kila mtu. Maisha uliyoyachugua ni sahihi kabisa kibongo bongo na hilo la kuona watu wanakuchukia ndio gharama zake. Hata mitume hawakupendwa na kila mtu.

Ni mtizamo tu.
 
Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.😭💔 Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.

Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa watu, watanisaliti, na kunisema vibaya. Watanisengenya sana. Imeenda hivyo mpaka nakua mama wa familia.

Hapa tunapoishi, majirani zangu karibia wote wanacheka na mimi kinafiki tu, ila hawanipendi kabisa. Hilo naliona hawanishirikishi mambo yao. Imeani, wakiuguliwa au kuugua, wakiwa na sherehe au jambo lolote, kuna wakati wataniambia ili, wakati mwingine hawasemi.

Nitasikia tu kwa watu huko, na kunisema vibaya. Na hata nikiwa na ukaribu na mtu, ule ukaribu huwa unapotea gafla, na niliyekua nae karibu atanichukia na kunisema vibaya kwa mambo ya uongo.

Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu, kiasi kwamba imeshaniadhiri. Hata mtu akinionyesha upendo wa kweli, naona kama ananiigizia. Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.

Lakini sasa, mimi ni aina ya wale watu tuseme wanajitenga flan hivi kutoka nje kwenda kupiga stori na wengine, huwa siwezi. Muda mwingi huwa nautumia kufanya kazi zangu za nyumbani, baada ya hapo nitapumzika kwa kulala au kuangalia TV.

Ninatoka mara chache sana kupiga stori. Nipo hivyo kwasababu mtaa ninaoishi ni mtaa ambao waswahili sana, na wanapenda kuchunguza na kujua kila kitu kwenye maisha ya mtu. Hivyo, binafsi huwa siwapii huo mwanya wa kujua jambo langu, kwasababu nikiwaambia tu watanisengenya sana.

Sasa sijui mimi nakosea kukaa mbali nao, au ni sawa ninavyofanya kuwapenda wakiwa mbali. Naomba unishauri, na wewe nifanyaje? Na wanaonichukia wala sio wanaume, ni wanawake wenzangu.
Watu wenye nyota kali ndio tunaopitia hizo shida
 
Kinachotuumiza sisi ni Matarajio,acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu,ishi wewe itakusaidia sana kuondoa hayo mawazo ya kuchukiwa
 
Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.😭💔 Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.

Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa watu, watanisaliti, na kunisema vibaya. Watanisengenya sana. Imeenda hivyo mpaka nakua mama wa familia.

Hapa tunapoishi, majirani zangu karibia wote wanacheka na mimi kinafiki tu, ila hawanipendi kabisa. Hilo naliona hawanishirikishi mambo yao. Imeani, wakiuguliwa au kuugua, wakiwa na sherehe au jambo lolote, kuna wakati wataniambia ili, wakati mwingine hawasemi.

Nitasikia tu kwa watu huko, na kunisema vibaya. Na hata nikiwa na ukaribu na mtu, ule ukaribu huwa unapotea gafla, na niliyekua nae karibu atanichukia na kunisema vibaya kwa mambo ya uongo.

Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu, kiasi kwamba imeshaniadhiri. Hata mtu akinionyesha upendo wa kweli, naona kama ananiigizia. Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.

Lakini sasa, mimi ni aina ya wale watu tuseme wanajitenga flan hivi kutoka nje kwenda kupiga stori na wengine, huwa siwezi. Muda mwingi huwa nautumia kufanya kazi zangu za nyumbani, baada ya hapo nitapumzika kwa kulala au kuangalia TV.

Ninatoka mara chache sana kupiga stori. Nipo hivyo kwasababu mtaa ninaoishi ni mtaa ambao waswahili sana, na wanapenda kuchunguza na kujua kila kitu kwenye maisha ya mtu. Hivyo, binafsi huwa siwapii huo mwanya wa kujua jambo langu, kwasababu nikiwaambia tu watanisengenya sana.

Sasa sijui mimi nakosea kukaa mbali nao, au ni sawa ninavyofanya kuwapenda wakiwa mbali. Naomba unishauri, na wewe nifanyaje? Na wanaonichukia wala sio wanaume, ni wanawake wenzangu.
Natamani kukuandikia Kwa urefu hapa ila muda ni Mchache...!

Kwa Lugha rahisi ni kwamba wewe ni Mti wenye Matunda.....! Ila hata mwenyewe hujui, Kuna kusudi flani ambalo Mungu kaliweka kwako ila mpaka Sasa hujajua.

Binadamu tuko tofauti, na ukitaka kujua hata hapa Jf Kuna Binadamu wepesi hivi kichwani, na ni sawa na wale unaowakwepa huko Mtaani, unaweza kuwaona kwenye comments zao.

Huwezi kubadirisha chochote Kwa sababu wewe ni Mti wenye Matunda......!

Jaribu kuwa karibu na Mungu ili ujue Kusudi lako, changamoto ama Vita vyako vinaanzia kwenye Ulimwengu wa Roho.....! Na wale wenye Access na Ulimwengu wa Roho wanatumika kuhamisha hivyo Vita kwenye Ulimwengu huu.

You are the Great.... ! And is not for everyone.
 
Inapendwa pesa peke yake wewe ni pesa mpaka upendwe
 
Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu,
Ni mtu kakuhadithia ukaileta kama ilivyo au ulimtumia mtu ukimwomba ushauri kisha ukaicopy tena ilivyo ukaleta humu au... Jiongezee majukumu ya kukuweka bize ili usipate muda wa kuwafikiria walimwengu
 
Kwanza kabsa acha gubu visirani na kununa kusiko na lazma kua normal na usiwe unasema watu hapo itasaidia sana
 
Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.😭💔 Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.

Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa watu, watanisaliti, na kunisema vibaya. Watanisengenya sana. Imeenda hivyo mpaka nakua mama wa familia.

Hapa tunapoishi, majirani zangu karibia wote wanacheka na mimi kinafiki tu, ila hawanipendi kabisa. Hilo naliona hawanishirikishi mambo yao. Imeani, wakiuguliwa au kuugua, wakiwa na sherehe au jambo lolote, kuna wakati wataniambia ili, wakati mwingine hawasemi.

Nitasikia tu kwa watu huko, na kunisema vibaya. Na hata nikiwa na ukaribu na mtu, ule ukaribu huwa unapotea gafla, na niliyekua nae karibu atanichukia na kunisema vibaya kwa mambo ya uongo.

Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu, kiasi kwamba imeshaniadhiri. Hata mtu akinionyesha upendo wa kweli, naona kama ananiigizia. Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.

Lakini sasa, mimi ni aina ya wale watu tuseme wanajitenga flan hivi kutoka nje kwenda kupiga stori na wengine, huwa siwezi. Muda mwingi huwa nautumia kufanya kazi zangu za nyumbani, baada ya hapo nitapumzika kwa kulala au kuangalia TV.

Ninatoka mara chache sana kupiga stori. Nipo hivyo kwasababu mtaa ninaoishi ni mtaa ambao waswahili sana, na wanapenda kuchunguza na kujua kila kitu kwenye maisha ya mtu. Hivyo, binafsi huwa siwapii huo mwanya wa kujua jambo langu, kwasababu nikiwaambia tu watanisengenya sana.

Sasa sijui mimi nakosea kukaa mbali nao, au ni sawa ninavyofanya kuwapenda wakiwa mbali. Naomba unishauri, na wewe nifanyaje? Na wanaonichukia wala sio wanaume, ni wanawake wenzangu.
Pole sana mammy. Hata hivyo hujafikia kiwango cha kuchukiwa kama Yesu alivyochukiwa. Yesu hakuwa na kosa wala tatizo lolote, lakini watu wengi walimchukia, walimtemea mate, walimvisha taji ya miiba, wakamsulibisha msalabani.

Nakushauri uamue kuokoka. Ukiokoka, utakuwa na amani tele hata ukichukiwa!
 
Hata mi' mwenyewe nina nuksi kama ya kwako. Njoo tuungane tuishi wote wenye nuksi ya aina moja.

Njoo PM unipe namba yako tuanze kuishi wote
 
Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.[emoji24][emoji174] Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.

Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa watu, watanisaliti, na kunisema vibaya. Watanisengenya sana. Imeenda hivyo mpaka nakua mama wa familia.

Hapa tunapoishi, majirani zangu karibia wote wanacheka na mimi kinafiki tu, ila hawanipendi kabisa. Hilo naliona hawanishirikishi mambo yao. Imeani, wakiuguliwa au kuugua, wakiwa na sherehe au jambo lolote, kuna wakati wataniambia ili, wakati mwingine hawasemi.

Nitasikia tu kwa watu huko, na kunisema vibaya. Na hata nikiwa na ukaribu na mtu, ule ukaribu huwa unapotea gafla, na niliyekua nae karibu atanichukia na kunisema vibaya kwa mambo ya uongo.

Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu, kiasi kwamba imeshaniadhiri. Hata mtu akinionyesha upendo wa kweli, naona kama ananiigizia. Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.

Lakini sasa, mimi ni aina ya wale watu tuseme wanajitenga flan hivi kutoka nje kwenda kupiga stori na wengine, huwa siwezi. Muda mwingi huwa nautumia kufanya kazi zangu za nyumbani, baada ya hapo nitapumzika kwa kulala au kuangalia TV.

Ninatoka mara chache sana kupiga stori. Nipo hivyo kwasababu mtaa ninaoishi ni mtaa ambao waswahili sana, na wanapenda kuchunguza na kujua kila kitu kwenye maisha ya mtu. Hivyo, binafsi huwa siwapii huo mwanya wa kujua jambo langu, kwasababu nikiwaambia tu watanisengenya sana.

Sasa sijui mimi nakosea kukaa mbali nao, au ni sawa ninavyofanya kuwapenda wakiwa mbali. Naomba unishauri, na wewe nifanyaje? Na wanaonichukia wala sio wanaume, ni wanawake wenzangu.
relax binti, hivo ulivo ndio inatakiwa iwe kwa dunia ya sasa. Just kila mtu adeal na mambo yake. Usimwambie kila mtu jambo lako cas nowdays privacy is the key. Kua na marafiki wachache na chagua nani wa kumshirikisha nini. Usifatilie mambo yao na wewe wasijue yakwako, wakikuongelesha kinafki na kukuchekea kinafs inawe ufanye the same[emoji4] relax ndo maisha yalivo nowdays.
 
Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.😭💔 Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.

Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa watu, watanisaliti, na kunisema vibaya. Watanisengenya sana. Imeenda hivyo mpaka nakua mama wa familia.

Hapa tunapoishi, majirani zangu karibia wote wanacheka na mimi kinafiki tu, ila hawanipendi kabisa. Hilo naliona hawanishirikishi mambo yao. Imeani, wakiuguliwa au kuugua, wakiwa na sherehe au jambo lolote, kuna wakati wataniambia ili, wakati mwingine hawasemi.

Nitasikia tu kwa watu huko, na kunisema vibaya. Na hata nikiwa na ukaribu na mtu, ule ukaribu huwa unapotea gafla, na niliyekua nae karibu atanichukia na kunisema vibaya kwa mambo ya uongo.

Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu, kiasi kwamba imeshaniadhiri. Hata mtu akinionyesha upendo wa kweli, naona kama ananiigizia. Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.

Lakini sasa, mimi ni aina ya wale watu tuseme wanajitenga flan hivi kutoka nje kwenda kupiga stori na wengine, huwa siwezi. Muda mwingi huwa nautumia kufanya kazi zangu za nyumbani, baada ya hapo nitapumzika kwa kulala au kuangalia TV.

Ninatoka mara chache sana kupiga stori. Nipo hivyo kwasababu mtaa ninaoishi ni mtaa ambao waswahili sana, na wanapenda kuchunguza na kujua kila kitu kwenye maisha ya mtu. Hivyo, binafsi huwa siwapii huo mwanya wa kujua jambo langu, kwasababu nikiwaambia tu watanisengenya sana.

Sasa sijui mimi nakosea kukaa mbali nao, au ni sawa ninavyofanya kuwapenda wakiwa mbali. Naomba unishauri, na wewe nifanyaje? Na wanaonichukia wala sio wanaume, ni wanawake wenzangu.
Utakua na issue mojawapo kati ya hizi

Ama utakua ni mtu fulani hivi very very complicated, watu aina hii huwa wanataka mambo yaende wanavyofikiri wao na sio jinsi mambo yalivyo(badili mtazamo na mfumo wako wa maisha)

Au utakua na matatizo ya KISAIKOLOJIA kutokana na makuzi au hali uliyopitia kwenye makuzi yako au hali inayotokana na strees, over expectations, unaamini kupitiliza nk nk( unahitaji msaada wa kitaalamu)

Maisha halisi ni kujua namna ya kuishi na watu.... binadamu ni social animal
Kila kitu unachokitafuta kwenye maisha yako LAZIMA kinahitaji watu wengine

Ukifungua biashara ukawa na maelewano mabovu biashara itakufa, ukiajiriwa ukakosa maelewano utaishia kufukuzwa kazi.
Ukipanga utaishi kupewa notice kwa ugonvi na wapangaji wenzako.
Kwenye Vikoba utatolewa maana kila siku ni shida unaona kama unaonewa wewetu.
Ukikanyagwa kidogo kwenye daladala hilo timbwili utafikiri umeibiwa bilioni nk nk

Huna mkosi wowote wala sio kama hupendwi au unasemwa sana au kusalitiwa sana kuliko wengine..... ni MIND SET yako
Binadamu ndivyo tulivyo
 
Pole sana mammy. Hata hivyo hujafikia kiwango cha kuchukiwa kama Yesu alivyochukiwa. Yesu hakuwa na kosa wala tatizo lolote, lakini watu wengi walimchukia, walimtemea mate, walimvisha taji ya miiba, wakamsulibisha msalabani.

Nakushauri uamue kuokoka. Ukiokoka, utakuwa na amani tele hata ukichukiwa!
Toka hapa ,tupo kwenye vitu serious unataka kumwibia hela zake tena kwa maneno ya sadaka .
 
Naomba nikujibu kama Petro alivyomjibu yule...
"Pesa yako na ipotelee mbali pamoja nawe, kwa kuwa umedhania ya kuwa karama ya Mungu yapatikana kwa mali." (Matendo 8:20)
 
Back
Top Bottom