Na ukiona tu Unachukiwa vibaya na Watu pamoja na Kusemwa vibaya na hata kuombewa mabaya pia huku Wewe ukiamini kwa 100% hakuna baya Ulilowafanyia au Ulilolifanya jua ya kwamba.....
1. Una Nyota Kali sana
2. Una mvuto na bahati nyingi
3. Una Roho Nzuri mno
4. Mkarimu na Mcheshi
5. Huna...
Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.😭💔 Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.
Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.