Change mindset yako, think positive, jipokee ulivyo, fanya self healing.
Jikite katika meditation sana.
Simama mbele ya kioo kila siku asubuhi na jioni, jione ulivyo wa pekee, jinenee uzuri, jitamkie ushindi, jitamkie ushujaa.
Tengeneza Mantras zako, mfano Sitakuwa mnyonge tena, mimi ni shujaa, mimi ni mzuri, mimi ni mkuu.
Taratibu ukiwa committed utaanza kuona mabadiliko, acha kujitenga, madhara yake ni kujiua.
Usitarajie upendo utoke kwa wengine bila wewe mwenyewe kuanza kujipenda, kujikubali na kujipokea.
As above so below,
As within so without
Nje yako ndio ndani yako, badili mtazamo wako wa ndani.
Mpenzi, hawala, mume wala mzazi hatakupa furaha usipoanza nayo wewe ndani mwako.