Napita na Dangote Mtwara nazidi kupita tu...

Napita na Dangote Mtwara nazidi kupita tu...

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
dangote.JPG
dangote.JPG
dangote.JPG
dangote.JPG
dangote.JPG
 
Nilitarajia kuwaona akina Njomba wakimtembeza Dangote. Loh ni wale wale akina Somji wamejaa huko.
 
Nilitarajia kuwaona akina Njomba wakimtembeza Dangote. Loh ni wale wale akina Somji wamejaa huko.

Mjomba mkubwa yuko marekani sa hivi wamemwambia akawaone Dodoma wajomba wikendi hii.
 
Mkuu unakuja kimiya kimiya tu nasikia habari zako juu juu tu naona mtwara wametembelewa na tajiliiiiiii mkubwa Afrika wa kwanza Duniani wa 23 safi naona anazitumia Fursa vizuri
 
ako ndio kadege kake binfsi...duh, hela zote zile?
 
Mainjiia wanao jenga huo mtambo ni wahindi - sie ni mainjinia wa maneno tu na ku kukosowa na kutukana kusiko kwisha !! karibuni wakezezaji
 
safii sana yaani black kumtuma
mzungu napenda sana
 
Back
Top Bottom