madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
- Thread starter
-
- #61
Unaitaka au unawaombeaKama huwezi kazi naamini kuna vijana wanaweza kukusaidia hapa, wape namba ya mkeo tu.
Mimi sina shida hiyo. I got 99 problems but a bitch ain't one.Unaitaka au unawaombea
ok naheshimu mawazo yakoMimi sina shida hiyo. I got 99 problems but a bitch ain't one.
Nakushauri wewe uliyeshindwa kazi kuna vijana wanaweza kukusaidia.
Kwamba ukishindwa kazi mpaka ukaja kutangaza mambo yako na mkeo ya chumbani hapa JF una option ya kuwapa watu wengine kazi wakusaidie si mawazo tu.ok naheshimu mawazo yako
punguza mnyama ongea taratibu sheikhKwamba ukishindwa kazi mpaka ukaja kutangaza mambo yako na mkeo ya chumbani hapa JF una option ya kuwapa watu wengine kazi wakusaidie si mawazo tu.
Ni ukweli.
Umeshindwa kuongea taratibu wewe uliyetuletea mambo yaliyokushinda chumbani kwako na mkeo hapa JF.punguza mnyama ongea taratibu sheikh
Sikushindwa sheikh niombe radhi ila ni wasiwasi wa vuli kugeuka masika ghafla tuUmeshindwa kuongea taratibu wewe uliyetuletea mambo yaliyokushinda chumbani kwako na mkeo hapa JF.
Halafu ukiambiwa usaidiwe unaleta rabsha sheikh.
Unataka nini haswa?
Teh
ngumu kumeza lakini
maneno dhwahiri mkuuMuonyeshe na wewe zaid ya hayo utatamani akutendee siku akiwa kaburini maana hatuna uhakika wa kesho tenda kadri uwezavyo kusudi ufurahie leo yako kesho huijui l.
Unawaza kujengea wakwe je ukifa kesho utajenga kaburini.