lolote linawezekana ni spidi kali ya mabadiliko bila taarifaAtakuwa kaachana na mchepuko wake akili yote amehamishia kwako sasa
hakuna tatizo ila mmh tuambianeKama mwanzo alikuwa hakufanyii kaamua kubadilika tatizo liko wapi.
mageni haya sheikhIla watu tuko tofauti sana!
Mi muda wa kula na kulala nauheshimu sana sana sana.sipendi 'bughudha' muda huo.nataka kuwa free mno na ku enjoy the moment so hapo labda ingenishtua kama ningekua wewe....ila huko kwingine jamaa yangu mbona ndo wanaume wengi tunayotaka aisee!!??
sio majaribu hayo sheikh wangu
Hamuaminiki na visa vyenuTusipojiongeza mnalalamika tumejibweteka hatuna ubunifu. Tufanyeje?
No commentmfyuu yani hamjui mnataka nini? sasa unataka hayo afanye na nani? kama wakwe wako hawana nyumba ukiwajengea utakatika kidudu? acha bana
aha ahaa ahaa hapa kwenye kamba unanikumbusha msichana wangu wa kimakonde zama hizoMkuu;
Inaonesha ulikuwa umesha m grade kwa chini ya wastani kabisa. Mwenzio machale yamemcheza akajua kuwa atapoteza nafasi yake moyoni mwako. Usiogope, wenzetu hawa wakiamua kujituma hujituma kweli kweli. Na hapo ni mwanzo ngoja aingie 6x6 hadi utaomba kamba ufungiwe juu.
aksante kwa kunitoa wasiwasi
yote kwa yoteKafundwa on secoondtime
binaadamu lazima ujishtukieKuna binadamu hampendeki
inawezekana lakini ngoja tuone mwisho wakeTunza ndoa kijana shemeji amepata darasa huko nje(inaweza kuwa saloon, kwenye kitchen party ama kwa mashoga zake).
Boresha mahusiano
Hebu katoe hako kamchango babyTaratibu mama umefanya kamchango nilikonuia kukadondosha hapa hadi kame-evaporate
Kama huwezi kazi naamini kuna vijana wanaweza kukusaidia hapa, wape namba ya mkeo tu.Salaam
Nimeshtushwa kidogo na tabia ya wife ambayo hapo kabla alikuwa hana hivi sasa mapenzi yamekuwa moto kiasi cha kuanzisha yeye shughuli nzima ya faragha na amekuwa hivi sasa ana mitindo mipya ya faragha,hata jina la baba nani sasa hivi halipo naitwa haya ya vijana darl au baby pia hataki ule mchezo tuupige kitandani na wakati wa kunitayarishia chakula atahakikisha nakula ziro distance huku akipapasa mgongo mmh
wadau hali hii kidogo inanitisha sasa sijui ndio ameamua kubadilika tu au natakiwa kupigwa mzinga nikawajengee wake sababu mabadiliko yamekuja ghafla
Au ndio nafunikwa macho afanye yake na serengeti