Napita katika majaribu mapya

madala mujipa

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
1,421
Reaction score
864
Salaam

Nimeshtushwa kidogo na tabia ya wife ambayo hapo kabla alikuwa hana hivi sasa mapenzi yamekuwa moto kiasi cha kuanzisha yeye shughuli nzima ya faragha na amekuwa hivi sasa ana mitindo mipya ya faragha,hata jina la baba nani sasa hivi halipo naitwa haya ya vijana darl au baby pia hataki ule mchezo tuupige kitandani na wakati wa kunitayarishia chakula atahakikisha nakula ziro distance huku akipapasa mgongo mmh

wadau hali hii kidogo inanitisha sasa sijui ndio ameamua kubadilika tu au natakiwa kupigwa mzinga nikawajengee wake sababu mabadiliko yamekuja ghafla

Au ndio nafunikwa macho afanye yake na serengeti
 
Mhudumuuuuuuu..... kuja hapa mara moja.
Lete ya moto ingine, chenji rudisha hapa.
 
kashampata huko nje wa kumfundisha....ndo kaja kuapply kwako
 
Unafurahia? Na si ndicho ulikua ukikitamani? Hebu acha mwanamama aaply maujuzi. 😱
 
ha ha ha atakua kafundwa kwenye magroup ya whatssap na facebook! haya magroup noma sana...ila si unaenjoy?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…