Napinga Uteuzi wa Kagurumujuli kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, hana Sifa

Mkurugenzi anahusika vipi na hizo tuhuma?
Mkuu hujui kuwa huyu ndiye alikuwa Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa jimbo la Kinondoni? Na ndiye alikuwa anahusika kukataa kupitisha barua/forms za wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA? Ndiyo ikapelekea yale maandamano ambayo Polisi walitumia nguvu zilizokithiri hadi kufyatua risasi iliymuua mwanafunzi wa NIT, Akwilina Akweline
 
Nimeshangaa kuona hiyo quote niliyoijibu, nikashangaa na jibu nililotoa, maana haviendani kabisa, labda ingekuwa ni kweli sijui uhusika wa Mkurugenzi na mamlaka aliyo nayo.
Sijui ni nini kilitokea nikajibu hivyo, ningekuwa nakunywa ningesema labda nililewa.
Labda nilikua na type huku nikiangalia tako lililokua mbele yangu.
 
Pole mzee wa totoz na trakos
 
Back
Top Bottom