Napinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!
Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.
Tumekosoma kupinga kwako lakini ningekushauri badala ya kupinga hapa JF uende mahakamani ukasimamishe ujenzi unaoendelea hivi sasa. Kama hujui njia za kwenda kufanya pingamizi mahakamani, mtafute mchungaji Mtikila akupe darsa, ana uzoefu mkubwa sana wa mambo ya mahakama na kesi baina yake na Serikali zingine kashinda zingine kashindwa mpaka kafungwa.
Kupinga hapa JF ni kama kumpigia mbuzi guitar hakuna anaeweza kukusaidia zaidi.
Kulinganisha na dar ni kidogo mno. 80% ya mzunguko wa pesa Tanzania uko Dar, Na hata movement za watu kwenda na kurudi kwa siku ktk barabara za dar ni kubwa mno kulinganisha na barabara ya Mbeya-Tabora ambako hata mtu akiamua kukaa Makongolosi akahesabu magari yanayotumia njia hiyo kwa siku yanaweza yasifike hata 50. Kwahiyo japo kuna watu wanaathrika kibiashara na uzalishaji lakini haiwezi kufikia hasara inayotokana na jam za dar.Unajua ni fedha kiasi gani kinapotea kusafirisha Mzigo wa Biashara kutoka Mbeya kwenda Tabora kwa wiki mbili?
Wakati familia ndiyo kampuni ndogo kabisa, serikali ndio kampuni kubwa kabisa. Kwahiyo hata serikali inaangalia wapi ikiwekeza pata kuwa na impact kubwa zaidi kwa malengo yake. kwa kuwa lengo la serikali ni kuimarisha standard ya maisha ya wananchi wake basi inaangalia ni wapi ikiwekeza wananchi wengi watafikiwa na huduma lakini wakati huo huo inaangalia ni wapi pataiwezesha kukuza mapato yake. Sasa ukilinganisha tatizo lililopo tazara Dar na hizo barabara za vumbi mikoani utagundua tatizo hilo nikubwa zaidi. Mfano wakati ni watu wachache sana wanaotumia barabara ya Mbeya-Tabora kwa wiki, kuna maelfu ya watu ambao wanaathirika kila siku na tatizo la jam za Dar na hawaathiriki wao tu bali pia makampuni na uzalishaji mwingine. Kwahiyo pamoja na umuhimu wa barabara za kuunganisha mikoa na wilaya lakini tatizo la Jam dar lazima lipewe kipaumbele. Hata hivyo hakuna nchi duniani iliyofanikiwa kubalance huduma katika miji mikubwa na pembezoni, hata zilizoendelea bado huduma katka miji mikubwa yenye uzalishaji mkubwa ni kubwa zaidi kuliko pembezoni.
Hayo uliyosema ni sawa lakini sambamba na flyovers, waliojenga flyovers kwenye miji yao sio vivutio vya utalii ni ktk juhudi ya kudhibiti msongamano.Foleni mijini haimalizwi na flyovers bali kwa kuimarishwa usafiri wa umma, kudhibiti magari madogo yenye abiria mmoja mmoja kuingia katikati ya mji na kutawanya sehemu zinazotolea huduma (masoko, ofisi, magereji, shule, vyuo, viwanda) kwenye mitaa, wilaya na mikoa tofauti Vinginevyo foleni itahamia hukohuko juu ya flyovers
Kulinganisha na dar ni kidogo mno. 80% ya mzunguko wa pesa Tanzania uko Dar, Na hata movement za watu kwenda na kurudi kwa siku ktk barabara za dar ni kubwa mno kulinganisha na barabara ya Mbeya-Tabora ambako hata mtu akiamua kukaa Makongolosi akahesabu magari yanayotumia njia hiyo kwa siku yanaweza yasifike hata 50. Kwahiyo japo kuna watu wanaathrika kibiashara na uzalishaji lakini haiwezi kufikia hasara inayotokana na jam za dar.
Hujaelewa hoja yangu sijasema flyover ndiyo hatua ya mwanzo nimelinganisha kuwekeza dar na mikoani. Sasa kwa suala flyover ni hivi; msongamano husababishwa na sababu nyingi lakini la msingi ni wingi wa magari kulinganisha na barabara na mji ulivyokaa. Kwa dar ilivyokaa pamoja na kuimarisha barabara nyinginezo lakini bado kwasababu shughuli nyingi za kibiashara na kuutawala zinafanyika Posta na kariakoo flyovers ni lazima. Sehemu zote zenye makutano karibu na city center mfano tazara, ubungo na mwenge suluhu ni flyovers maana hata ukiimarisha barabara za Mbezi-kinyerezi, mbezi-tegeta, kiluvya-Gongo la mboto na nyinginezo bado watu hawa wanaelekea city center kwahiyo flyover hazikwepeki. Hoja pekee ni ya kujenga miji mipya pembezoni mwa dar na kutawanya huduma lakini nalo hilo ni gharama zaidi kuliko flyovers na pia litakuja polepole maana ni rahisi kuhamisha ofisi za serikali lakini huwezi kuwalazimisha wafanyabiashara waende unakotaka wewe wao wanaangalia sehemu inayofaa kwa biashara zao. Kuhusu kuimarisha miundombinu mikoani hakuna anayepinga suala linakuja ni wapi kuna wazalishaji wangapi? kwa mtu anayeangalia faida utawekeza kwanza kuliko na wazalishaji wengi. Sasa najua utasema mikoani kuna wazalishaji wengi kwa maana ya wakulima lakini pamoja 80% ya watz ni wakulima lakini mchango wa sekta ya kilimo ktk pato la taifa unazidiwa hata na utalii.Nitajie Nchi kubwa iliyoendelea iliyojenga flyover kwanza kabla ya barabara ndogo zinaounganishwa na br kubwa!
Nijuavyo mimi Dunia nzima kasoro sehemu za labda hapa Afrika fylover huwa ni hatua ya mwisho kabisa kwenye ujenzi wa Barabara, hii ni baada ya kuhakikisha hatua zote hza kupunguza foleni zimeshachukuliwa, sasa huwezi kuniambia kwamba unajenga flyover TAZARA kwa mabilioni ya shilingi halafu brb za pembeni zinazounganishwa na hiyo br Kuu ni matope na Madimbwi sasa utakuwa umefanya nini?
Unatoka kwenye flyover na 60 km/saa unaingia pembeni mashimo 5km/saa hiyo foleni itaishaje?
Pili unaangalia mambo kwa wigo mdogo sana, huwezi kusema kwamba umuhimu wa br Mikoani ni mdogo ukilinganisha Dar kwa maana chakula cha Dar kinatoka wapi?
Kama br Mikoani na Wilayani zikipitika chakula kitasafirishwa kwa Urahisi na bei ya Chakula hata huko Dar itashuka Pia, KItasaidia pia kupunguza msongamano Dar kwani Miundo mbinu mizuri inakuza uchumi hivyo kama kukijengwa Br ya kuunganisha kwa mf. Mbeya na Sumbawanga hawa watu wawili watafanya Biashara watazalisha Ajira huko huko na hawana haja ya kuja Dar, kutafuta kazi...
Maligahfi za Tanzania kama Dhahabu, Shaba Tanzania ziko wapi? Si ni Mikoani? Hauoni kama kuna Miundo mizuri huko Mikoani dhahabu inakotoka tuseme Geita itarahisisha usafirishaji na matokeo yake kuzalisha ajira nyingi?
Chukulia mfano kiwanda cha Cement cha Tanga Mjenzi wa Kigoma atafaidika vipi kama br haipitiki? Shule zitajengwaje?
Hivyo Dar ni muhimu kwa sababu ya mambo kama haya ya kutaka kila kitu kipelekwe Dar kwanza na ndio maana huwezi kumwambia Mtu abaki Biharamulo afanye nini, kama kila kitu kipo Dar?
Na kama kila Mtu akija kwa kuwa hakuna anayetaka kupitwa na Fursa hawa watu wataishi wapi? Kumbuka Dar ina 1500 km² tu na Tz nzima 945 000 km²!
Flyover ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi ili kupunguza traffic jam. Unajua ni sh ngap zinapotea kwa siku kwa sababu ya foleni Dar? Pesa itakayookolewa itasaidia kurekebisha huko kwengine.
Hujaelewa hoja yangu sijasema flyover ndiyo hatua ya mwanzo nimelinganisha kuwekeza dar na mikoani. Sasa kwa suala flyover ni hivi; msongamano husababishwa na sababu nyingi lakini la msingi ni wingi wa magari kulinganisha na barabara na mji ulivyokaa. Kwa dar ilivyokaa pamoja na kuimarisha barabara nyinginezo lakini bado kwasababu shughuli nyingi za kibiashara na kuutawala zinafanyika Posta na kariakoo flyovers ni lazima. Sehemu zote zenye makutano karibu na city center mfano tazara, ubungo na mwenge suluhu ni flyovers maana hata ukiimarisha barabara za Mbezi-kinyerezi, mbezi-tegeta, kiluvya-Gongo la mboto na nyinginezo bado watu hawa wanaelekea city center kwahiyo flyover hazikwepeki. Hoja pekee ni ya kujenga miji mipya pembezoni mwa dar na kutawanya huduma lakini nalo hilo ni gharama zaidi kuliko flyovers na pia litakuja pole maana ni rahisi kuhamisha ofisi za serikali lakini huwezi kuwalazimisha wafanyabiashara waende unakotaka wewe wao wanaangalia sehemu inayofaa kwa biashara zao.
Kwa rejesha mawazo yako kwenye theory ya .....Center - Peripheral relations, halafu jiulize jinsi uchumu wa nchi unavyorudi nyuma kwa watu kukaa kwenye foleni muda mrefu - muda wa kazi na mapumziko kupotelea njiani kwa kuchelewa kufika kazini na kurudi nyumbani, mafuta, vipuri n.
Tatizo ni kwamba watu kama wewe ndio moja ya sababu kwa nini Afrika hatuwezi kwenda mbele siku zote mnafanya mambo bila kufikiri, nimekwambia kwamba Flyovers siku zote huwa ni hatua ya mwisho baada ya nyingine zote kukamilika hata kama ukijenga flyover Ubungo kama Br za pembeni ni mbovu unakuwa haujafanya kitu!
Nenda Nairobi ukaone wamjenga hizo flyover lkn kwa kuwa nao ni vilaza na hawakufikiri leo kuna foleni si ajabu hata kabla ya flyover kujengwa na hakuna tofauti hata ya 1% waulize Wakenya watakwambia!
Suluhisho la foleni Dar sio flyover bali mambo ya msingi kabisa kwa mfano kwa nini Tegeta kuna foleni wakati ile br inaendelea mpaka bagamoyo?
sababu ni kwamba daladala zinasimama brn, Kwa nini Ubungo, magomeni, Buguruni kuna foleni kubwa ukienda utakuta Daladala zimesimama Brn hivyo tutatue hilo kwanza, tuhakikishe hakuna foleni yoyote inayosabishwa na Daladala kusimama br, tukitoka hapo tuhakikishe kwanza hakuna dereva aneyepita taa nyekundu na kukutana ktk na mwingine na kusababisha foleni, tuhakikishe hakuna dereva anayetanua na kukutana ktktk na kuziba br, tukimaliza hapo tuhakikishe br zote za pembeni zinazounga br kuu zinapitika baada ya hapo kama bado kuna foleni ndio sasa tuhamie kwenye njia mbadala ambao labda ndio itakuwa hizo flyover kinyume na hapo ni kupoteza fedha tu na hakuna Jipya!
Napinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!
Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.
Aisee idea yako ni nzuri ilatatizo mji haulipangwa na itakuwa gharama sana kujenga barabara lishi na tawanyishi Kwasababu itaitajika kuvunja na kufidi majengo mengi. Ila nashindwa kujua kwanini watu hawafikirii kujenga train za mjini. Mimi simtaalamu ila naona kama zinabeba watu wengi zaidi na haraka na hazitaitaji kuvunja nyumba nying za watu kuzijenga
Hujaelewa hoja yangu sijasema flyover ndiyo hatua ya mwanzo nimelinganisha kuwekeza dar na mikoani. Sasa kwa suala flyover ni hivi; msongamano husababishwa na sababu nyingi lakini la msingi ni wingi wa magari kulinganisha na barabara na mji ulivyokaa. Kwa dar ilivyokaa pamoja na kuimarisha barabara nyinginezo lakini bado kwasababu shughuli nyingi za kibiashara na kuutawala zinafanyika Posta na kariakoo flyovers ni lazima. Sehemu zote zenye makutano karibu na city center mfano tazara, ubungo na mwenge suluhu ni flyovers maana hata ukiimarisha barabara za Mbezi-kinyerezi, mbezi-tegeta, kiluvya-Gongo la mboto na nyinginezo bado watu hawa wanaelekea city center kwahiyo flyover hazikwepeki. Hoja pekee ni ya kujenga miji mipya pembezoni mwa dar na kutawanya huduma lakini nalo hilo ni gharama zaidi kuliko flyovers na pia litakuja polepole maana ni rahisi kuhamisha ofisi za serikali lakini huwezi kuwalazimisha wafanyabiashara waende unakotaka wewe wao wanaangalia sehemu inayofaa kwa biashara zao. Kuhusu kuimarisha miundombinu mikoani hakuna anayepinga suala linakuja ni wapi kuna wazalishaji wangapi? kwa mtu anayeangalia faida utawekeza kwanza kuliko na wazalishaji wengi. Sasa najua utasema mikoani kuna wazalishaji wengi kwa maana ya wakulima lakini pamoja 80% ya watz ni wakulima lakini mchango wa sekta ya kilimo ktk pato la taifa unazidiwa hata na utalii.
Pole, ni upeo wako mdogo... kwa bahati mbaya sana, hakuna dalili kama utaponaNapinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!
Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.