Watu wenye hoja dhaifu siku zote wanapokosa. Kutetea. Hoja zao dhaifu hutafuta mahali pakujishika nakupata unafuu wakutetea hoja zao mfu.
Ndugu watanzania naomba kuwa kumbusha kama hamkumbuki nendeni mkasikilize hotuba ya Rais na ya Job pale TCRA wakati wakifunguwa mitambo ya kisasa ya mawasiliano. Kama wewe ni mtu unafuwatilia hoja za viongozi Spika alipo pewa nafasi ya kuongea hakusita kusema hili swala la CAG, nakwa mbwembe alisema hii mitambo ni zao la mapendekezo ya bunge alafu leo kuna mtu anaita bunge dhaifu" mwisho wakumnukuu.
Mh Rais alikuwa mzungumzaji wa mwisho na kama mnavyo mjuwa mkuu wetu akipenda speach ya mtu atachukua some of maneno nakuyawekea msisitizo. Amini usi amini Rais wetu alimaliza hotuba yote nahakutaja neno dhaifu.
Hii ni ishara kuwa Rais hakupenda kile Spika alikuwa akikianzisha na akiwa tayari anajuwa nia ya spika na wa ndani wake nikumuingiza ktk mgogoro ambao utaitia doa serikali nzima.
Zipo tetesi siku ya kupokea hotuba bunge liligoma na Rais kwa amani akaipokea report kwa bashasha kimya kimya.
Hii ndio siri kwa wale mnamjuwa ndugai. Je spika alikuwa team Magufuli au team Lowasa? Au team membe?
Spika akijuwa karata yake ktk sakata hili. Amejikuta akiwa peke yake na bunge maana anajuwa alicho nuwia.
Moyo wa mtu ni msitu mnene na ilikuwa wazi ktk hili kwa nini mwimili mmoja umekaa kimya ila muhimili mwingine unafanya kazi? Kwa nini mmoja anarusha mawe mwingine anakaa kimya?
Jambo lingine la hatari sana watu wengi wanaliogopa ni ile dhana ya udini ambapo inaonekana kama Prof Assad watu wanavita naye ila siri ipo ktk udini na ukitaka kuona hili angalia kamati ya maamuzi angalia spika na naibu wake, angalia support kubwa ipo nyuma ya Prof Assad nadhani kama wewe ndio Rais huwez kurupuka kufanya maamuzi maana hili sakata litajeuka kuwa sakata la udini. Why? Angalia taasisi nyeti zote ukiacha jaji mkuu,makamo wa rais na waziri mkuu na CAG. Haya yote ni siri ila nina imani muda utajibu haya.
Rais anajuwa dhahama ya kumgusa CAG na kiukweli kabisa CAG hatoiacha serikali salama maana sasa ndio itakuwa wamemwaga mafuta kwenye moto wa kuni hivyo Rais kwa utashi wake hawezi jichanganya ktk hili.