game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,231
- 26,732
Mkuu, nadhani sikusoma comment yeke, japo haikuwa na ulazima wewe kumjibu the same way..Haujasoma comment yake niliyojibu ndiyo maana unadhani sijajibu hoja yake. yeye amesema NIACHE UTOTO, wewe unaona hiyo ni kauli sawa? Ina maana yeye ameniita mtoto, which means yeye ndiyo mkubwa/mzee (na si vinginevyo kama unavyosema wewe)
....shukrani mkuu!!