Napinga Makao Makuu ya nchi kuhamia Dodoma

Kabla ya kuandi ni vizuri ukafanya reseach japo kidogo. Usiwe mzembe kiasi hicho.

Makao makuu ya Tanzania ni Dodoma. Dar es Salaam ni mji wa kibiashara.
Sababu ulizozitoa ni za kitoto sana.

Na shughuli za Serikali zikihamia Dodoma utafanya jiji la Dar es salaam biashara ziende haraka. Halafu kumbuka dodoma ni katikati ya nchi kwa hiyo watu wanaweza kufikia ofsi kuu za serikali kirahisi.

Fanya uchunguzi kwanza ujue Rais wa kwanza baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwanini alitaka makao makuu yawe dodoma.
Asante mawazo mazuri Annael[emoji122]
 
Akili yako inafanya kazi?

Hiyo ni njia mojawapo ya mendeleo hujui Tanzania bado tunahitaji miji ilijijenga hivyo kupeleka serikali dom kutafanya tuwe na miji mingi.

Na foleni DAr unajua tunapoteza hela kiasi gani ?

Unajua watu wangapi wanakufa kwa ajili ya overpopulation Dar?

Gharama za watu kutoka mikoani kwenda Dar unaijua kulinganisha na Dodoma ambapo ni rahisi kufikika?

Akili yangu ya miaka 17 imewaza hivyo wewe akili yako ya miaka mingapi imewaza hayo?
Hata sasa wa mikoani tutakuja...kupata huduma dodoma na sio huko
 
Mjomba usikomae na Foleni kama ndio sababu kuu ya kuhamishia Serikali Dodoma.. karejee kuisoma Masterplan..
sababu zote ziko wazi na ni za msingi...
Wasiliana na Mipango Miji.. usijitoe jasho for no reason
Wewe naona hautaki kuelewa. Nimekwambia hizo sababu za ajabu kama foleni ndizo nabishana nazo na ninyi ndio mnazileta humu kama justification ya serikali kuhamia Dodoma, nashangaa unazibambika kwangu! Kwenye uzi huu hakuna aliyetoa sababu za maana kwa nini iwe hivyo, including wewe mwenyewe. Nyote mnaleta vijisababu vya kupunguza msongamano Dar na kuendeleza Dodoma, AS IF ili mji uendelee lazima ugeuzwe kuwa makao makuu ya serikali!
 
Mkuu, hili halihitaji political support hakuna issue ya kupiga kura hapo. Serikali ina watumishi wa umma. Hapa ni suala la maamuzi magumu. Raisi ashayafanya. Kuhusu resources, hilo tuwaachie makatibu wakuu maana wao ndo wanajua jinsi ya kufanya michakato. Hela ipo. Hela ya escrow ingewahamisha dodoma na kuwarudisha tena Dar. Issue ni priority tu. Kumbuka wanaotuogopesha ni wale waliozoea jiji. Sasa kuhama ni changamoto. Dom ilishapangwa since 1973 kupokea serikali, kilichokosekana na political will ya Raisi. Sasa Magu anatangulia, mwenye ubavu abaki sasa. T2020DOM
You are among the planners of failure. Soma post yako tena, uelewe nisemacho.
 
Mh. Rais wa jamhuri ya Muungano wa TZ amesema atafanya jitihada makao makuu ya nchi yahamie Dodoma. mimi kwa hili nakataa kwa sababu zifuatazo!

1. Dar imeshajiimarisha na kujijenga vizuri kama makao makuu ya nchi, ina hadhi ya kuwa CAPITAL CITY

2. Kuhamia Dom kutasababisha tuyumbe kiuchumi kwani pesa nyingi zitatumika kujenga majengo ya ofic za umma na miundombinu kwa ujumla.

3. Hamna uwanja wa ndege wa kimataifa wala bandari kama Dar.

4. Gharama za maisha na huduma zitakuwa juu sn. mizigo mingi ya Dom itashukia kwanza Dar kisha ndo isafirishwe. kumbuka Dom itakuwa na watu wengi.

5. Hivi Dodoma kuna nini hata tukung'ang'anie?
Nairobi kuna bandari? Halafu ndio pazuri kuzidi hiyo dar yenu
 
Baada ya kupitia matamko mbali mbali yaliotolewa na viongozi wa nchi hii yawe mazuri au mabaya hayakosi wateja wake wa kuyaunga mkono. Itatokea huko mbele atakuja raisi asiye penda kuoana na ataagiza watanzania wote tusioane na kuna watu watamuunga mkono!!

Hebu pitia kwenye kauli ambayo inasemekana kaitamka mkuu wa nchi japo mm binafsi siamin kama ni kweli, kauli kama hii itoke kwake. Maana sitegemei kauli kama hii kutoka kwa raisi wa nchi aliye makini.
[emoji40] Et inasemekana raisi kasema serikali ikahamia Dodoma atauza nyumba za serikali [emoji40]
Baada ya kupitia topic hiyo kuna watu wanasapoti hiyo kauli . Wakati mpaka tunapoongea kuna wizara hazina nyumba wamepanga mahotelin. Kuna wafanyakaz kadhaa hawana nyumba. Kwa rugha rahisi nyumba hazitoshi serikalini. Lakn kuna watu wanaunga mkono kuuzwa. Pili kwa sheria gani nyumba zitauzwa?? Je mali ya serikali huamuliwa kwa kauli ya mtu mmoja??

Kuna watu raisi kapiga marufuku siasa na mikutano yake, wameunga mkono ! Huku wanajua anavunja katiba aliyo apa kuitumikia nchi kwayo wanafurahi. Kesho akiamka akasema hakuna vyama vya siasa yeye ndio siasa na chama ni yeye mwenyewe naamin kuna watu watamuunga mkono . Je kwa hali hiyo tutafika kama nchi??

Watanzania tuamke kulinda katiba hii hii japo mbovu mpaka hapo tutakapopata mzuri. Maana tukishindwa kuilinda hii mbovu je hiyo nzuri tutaweza??
 
Watanzania tuamke kulinda katiba hii hii japo mbovu mpaka hapo tutakapopata nzuri. Maana tukishindwa kuilinda hii mbovu je hiyo nzuri tutaweza??
 
Baada ya kupitia matamko mbali mbali yaliotolewa na viongozi wa nchi hii yawe mazuri au mabaya hayakosi wateja wake wa kuyaunga mkono. Itatokea huko mbele atakuja raisi asiye penda kuoana na ataagiza watanzania wote tusioane na kuna watu watamuunga mkono!!

Hebu pitia kwenye kauli ambayo inasemekana kaitamka mkuu wa nchi japo mm binafsi siamin kama ni kweli, kauli kama hii itoke kwake. Maana sitegemei kauli kama hii kutoka kwa raisi wa nchi aliye makini.
[emoji40] Et inasemekana raisi kasema serikali ikahamia Dodoma atauza nyumba za serikali [emoji40]
Baada ya kupitia topic hiyo kuna watu wanasapoti hiyo kauli . Wakati mpaka tunapoongea kuna wizara hazina nyumba wamepanga mahotelin. Kuna wafanyakaz kadhaa hawana nyumba. Kwa rugha rahisi nyumba hazitoshi serikalini. Lakn kuna watu wanaunga mkono kuuzwa. Pili kwa sheria gani nyumba zitauzwa?? Je mali ya serikali huamuliwa kwa kauli ya mtu mmoja??

Kuna watu raisi kapiga marufuku siasa na mikutano yake, wameunga mkono ! Huku wanajua anavunja katiba aliyo apa kuitumikia nchi kwayo wanafurahi. Kesho akiamka akasema hakuna vyama vya siasa yeye ndio siasa na chama ni yeye mwenyewe naamin kuna watu watamuunga mkono . Je kwa hali hiyo tutafika kama nchi??

Watanzania tuamke kulinda katiba hii hii japo mbovu mpaka hapo tutakapopata mzuri. Maana tukishindwa kuilinda hii mbovu je hiyo nzuri tutaweza??
Mkuu ni wachache sana ambao watakubaliana na wewe, tatizo watanzania wamekuwa watu Wa kufumba hata kwenye nyeusi wanasema nyekundu. Kwa mtindo huu hatutafikia haraka demokrasia ya kweli.
 
'
Mh. Rais wa jamhuri ya Muungano wa TZ amesema atafanya jitihada makao makuu ya nchi yahamie Dodoma. mimi kwa hili nakataa kwa sababu zifuatazo!

1. Dar imeshajiimarisha na kujijenga vizuri kama makao makuu ya nchi, ina hadhi ya kuwa CAPITAL CITY

2. Kuhamia Dom kutasababisha tuyumbe kiuchumi kwani pesa nyingi zitatumika kujenga majengo ya ofic za umma na miundombinu kwa ujumla.

3. Hamna uwanja wa ndege wa kimataifa wala bandari kama Dar.

4. Gharama za maisha na huduma zitakuwa juu sn. mizigo mingi ya Dom itashukia kwanza Dar kisha ndo isafirishwe. kumbuka Dom itakuwa na watu wengi.

5. Hivi Dodoma kuna nini hata tukung'ang'anie?
Kwani Dar kuna nini mpaka tung'ang'anie? binafsi nimefurahi kuona serikali inahamia Dodoma kwasababu sasa kila kona watu watafika makao makuu kwa urahisi.lakini kikubwa ni fursa nyingi za kiuchumi zitaanzishwa na ndani ya muda mfupi tu Dodoma litakuwa jiji na pengine hata Iringa.
 
Mimi nimeshangaa kusikia Mawaziri wanatafuta viwanja kwa ajili ya kujenga ofisi wakati wengine wanasema watahamia Dodoma ndani ya wiki.Hapa kitakachotokea fedha nyingi zitatumika kukodi majengo na safari za Dodoma -Dar .Pamoja na Rais kutoa tamko ingefaa hata mwaka mmoja utumike kujenga majengo na miundo mbinu mingine ama sivyo kutatokea ufisadi wa kutisha na kutumia fedha za wananchi vibaya.Bunge liko wapi?
 
Back
Top Bottom