Napinga kibali cha Papa kwa Mapadre

Naona unamchukulia baba wa kanisa Katoliki kama Rais au mkuu wa mkoa.hujui mamlaka yake nadhana wewe ni mmoja kati ya katukuneni wajinga.maoni uliyoandika yanaakisi uko kidunia zaidi.ni aya gani inasema padri ni malaika au hatahukumiwa kama wewe.mapadri hutokana binadamu ambao asili ya dhambi kuwa padri ni kujitoa sadaka kwa nini unamhukumu bab wa kanisa kana kwamba huyo padri alilazimshwa na Papa.hata Kaini alimuua Abel kana kwamba yeye ndiye alikataa sadaka ya Kaini.kwa
 
Jambo la papa unalipinga humu jf, sidhani kama papa yupo jf siku hizi.
Wastage of time
 
Aaah mambo mengine yabaki kama yalivyo na kila mmoja abaki na imani yake
 
Hivi urevlieiie ulichokiandikaa au umeandika na jazba?? umekielewa nilichokiandikaa au unaleta matusi tu. Pengine hujui kama hujui utaratibu wa Kirumi?
 
Aksante Mromani Katholiki mwenzangu. Mimi ni Mromani Katholiki mzuri tu. Nasadiki kwa kanisa moja takatifu la mitume. Neno moja tu ningelitaka kulisema hapa maadam umeleta hoja hii nadhani ulitaka tukuunge mkono au tukupinge.
Hili jambo nadhani kwa mtazamo wa wale ambao hawana exposure yeyote zaidi ya kigangoni au parokiani. Na haswa wale ambao tangu wazaliwe utakuta kaingia makanisa sio zaidi ya 2 ukimwambia kuwa kuna padri ana mtoto au sista mwenye katoto alikotupa hawezi amini.
Tembea uoane mwenyewe. Kule USA kuna chama cha mapadre wakatoliki waliooa na wanafanya shughuli zote za kikanisa na hakuna awapingaye. Sasa hivi kuna chama cha watoto waliozaliwa na mama zao kutokana na mimba za mapadre ila hawakai nao. Kuna chama cha wanawake waliozaa na mapadri ambao wamewatelekeza.
Msikae tu mmejawa na nyongo huku kumbe wala sio mbali mnaweza kupata msaada. Mapadre walioko Tz ambao mliwazalisha wanawake na kuwatelekeza hamtaki hili lisikike. Lakini, Your days are numbered..in Kangi's voice.
Siku za karibuni, kumetokea matendo ya uovu uliokithiri hapa hapa Tz kiasi kwambo nadhani huyo papa asiwaruhusu tu hao huko marekani kusini bali duniani kote waoe/waolewe. Kusikia ufuska unaotendwa humo parokiani hata shetani ataukataa. Kule kuna lesbians na gay fathers. Wamewaharibu vijana wadogo tena chini ya umri wa 12 yrs.
Ningetamani wanausalama waangalie sehemu hii.
 

hii paragraph umeandika TAKATAKA
 
Ndo maana nilishtuka kwamba wameanza kuruhusu makasisi kuoa huwenda ndo ukawa mwanzo wa kupiga chini idea zote kubwa ambazo binadamu peke yake tu anaweza zifikiria.

kwahiyo mkuu unataka kusemaje? wasioe ili ma lesbian na ma gay waongezeke? au umemaanisha nini
 
Huwa kuna hoax pia
 
Anataka kumfanya mungu mjinga kwa kuumba jinsia mbili tofauti
 
bahati93
"watu wanaweza salimisha mioyo yao kuonyesha ukuu wa mwanadamu."

Mkuu ni mmoja tuu, MUNGU
 
Kwani biblia gani imesema ukiwa padre lazima usioe? Paulo hakuoa kwa sababu na mwisho alishauri kama hutaweza ni vyema uoe na haikua sheria
 
Kwani biblia gani imesema ukiwa padre lazima usioe? Paulo hakuoa kwa sababu na mwisho alishauri kama hutaweza ni vyema uoe na haikua sheria
Yesu aliwaambia mitume waache familia zao wamfuate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…