Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,833
- 24,202
Mbn ni mtu wa shika zako sendoNimefanya sana kazi na Sabaya, jamaa alikuwa mtu poa kweli ijapokiwa ni mulevi sana.
Mbn ni mtu wa shika zako sendoNimefanya sana kazi na Sabaya, jamaa alikuwa mtu poa kweli ijapokiwa ni mulevi sana.
Jamaa yuko poa sana aisee!Mbn ni mtu wa shika zako sendo
Aseeeh hatare sanaJamaa yuko poa sana aisee!
Ni ngori mkuu.Aseeeh hatare sana
Visionary leader unakaa miaka 20+ kwenye madaraka, na bado unataka kuendelea kukaa wakati watu wameshachoka? Ama ni mambo ya kumvika kilemba cha ukoka?Usipomsahe unapata faida Gani na ukimsamehe unapata faida Gani .
Kusamehe au kutosamehe ni sawa
Binafsi no GOD forbid everything happens for reason and everything is blessing in this .
FAM is great Man , knowledgeable , smart and wiser plus visionary.
Shida yake na yule mama mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro aliyetoka ACT ilikuwa ni nini? Kwa nini alikuwa anamdharau sana yule mama?Nimefanya sana kazi na Sabaya, jamaa alikuwa mtu poa kweli ijapokiwa ni mulevi sana.
Kwa nini alikuwa anafanya oparesheni za kukamata watu na kuvamia biashara zao wilaya nyingine za mkoa wa Kilimanjaro na mkoa Arusha wakati akiwa DC wa Hai?Nimefanya sana kazi na Sabaya, jamaa alikuwa mtu poa kweli ijapokiwa ni mulevi sana.
Mbowe angefaa zaidi awe kiongozi wa dini au mfanyabiashara tu badala ya kuwa kiongozi wa CHADEMA au kisiasa.Mbowe amezungumza kama raia wa kawaida ambae dini yake inamuambia amsamehe mbaya wake mara saba mara sabini. Hakutaka Sabaya asamehewe na taifa au dola. Lakini kama Mungu wake aliweza kumsamehe Saul, Mbowe ni nani ashindwe kumsamehe Sabaya?
Amandla...
Yeye ni kama alikuwa mtoto pendwa wa Magu, ndiyo maana alikuwa na madharau.Shida yake na yule mama mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro aliyetoka ACT ilikuwa ni nini? Kwa nini alikuwa anamdharau sana yule mama?
Dah, sasa hapa sijui tatizo...Kwa nini alikuwa anafanya oparesheni za kukamata watu na kuvamia biashara zao wilaya nyingine za mkoa wa Kilimanjaro na mkoa Arusha wakati akiwa DC wa Hai?
Alikuwa yote hayo wakati anaitoa Chadema ilikokuwa mpaka kuifikisha ilipo sasa.Mbowe angefaa zaidi awe kiongozi wa dini au mfanyabiashara tu badala ya kuwa kiongozi wa CHADEMA au kisiasa.
Miaka 20 unaona mingi?Visionary leader unakaa miaka 20+ kwenye madaraka, na bado unataka kuendelea kukaa wakati watu wameshachoka? Ama ni mambo ya kumvika kilemba cha ukoka?
Samehe Saba mara Sabini,Matovu yake,mateso kwake halali SI ajabu Kwa kusutwa na dhamira!Kwa ukatiri n.a. unyama aliofanya Sabaya hapaswi kusamehewa na yeyote na Nina hakika wako wanaopanga kulipa kisasi (nawatakia kila la heri)
Namheshimu Freeman na wote mnajua lakini namheshimu zaidi Mwenyezi Mungu ambaye hajatuagiza popote kumsamehe Shetani.
Sabaya ni aina ya vijana wanaopaswa kunyongwa hadharani, Huyu anapaswa kukamatwa na kutendewa kama Samuel Doe, unnyama alioutenda Sabaya hauandikiki hapa jukwaani, Huyu hapaswi si tu kusamehewa bali hapaswi kukaribishwa popote penye kundi la watu wema.
Sabaya anapaswa kukomeshwa ili wapumbavu wengine wa kiwango chake wajifunze na kuogopa kutenda ubaya kwa wengine, wajinga wa aina ya sabaya wanapaswa kulipwa kisasi ili wengine wajifunze kwamba madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana
Nina hakika hata familia ya Mbowe iliyoteseka na madaraka ya Sabaya Wameshangaa.
Mwisho, Japo si kw a umuhimu, KILA UBAYA UTALIPWA
Mbowe sasa hivi amekuwa pandikizi la CCM. Hana jipya.Kwa ukatiri n.a. unyama aliofanya Sabaya hapaswi kusamehewa na yeyote na Nina hakika wako wanaopanga kulipa kisasi (nawatakia kila la heri)
Namheshimu Freeman na wote mnajua lakini namheshimu zaidi Mwenyezi Mungu ambaye hajatuagiza popote kumsamehe Shetani.
Sabaya ni aina ya vijana wanaopaswa kunyongwa hadharani, Huyu anapaswa kukamatwa na kutendewa kama Samuel Doe, unnyama alioutenda Sabaya hauandikiki hapa jukwaani, Huyu hapaswi si tu kusamehewa bali hapaswi kukaribishwa popote penye kundi la watu wema.
Sabaya anapaswa kukomeshwa ili wapumbavu wengine wa kiwango chake wajifunze na kuogopa kutenda ubaya kwa wengine, wajinga wa aina ya sabaya wanapaswa kulipwa kisasi ili wengine wajifunze kwamba madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana
Nina hakika hata familia ya Mbowe iliyoteseka na madaraka ya Sabaya Wameshangaa.
Mwisho, Japo si kw a umuhimu, KILA UBAYA UTALIPWA
Mbona mmeshindwa kumchukulia hatua?Sabaya hasameheki. Toka akiwa UVCCM alikuwa mtu mshenzi.
Alishafikishwa mahakamani. CCM ni chama kisichovumilia watu kama Sabaya ndo maana hata kwenye nafasi za uongozi hatakiwi. Ni tofauti na CHADEMA ambao wezi wa michango ya mwenyekiti wanatetewaMbona mmeshindwa kumchukulia hatua?
Mahakamani ikawaje?Alishafikishwa mahakamani. CCM ni chama kisichovumilia watu kama Sabaya ndo maana hata kwenye nafasi za uongozi hatakiwi. Ni tofauti na CHADEMA ambao wezi wa michango ya mwenyekiti wanatetewa
Na Mimi ni raia nimepingaMbowe amezungumza kama raia wa kawaida ambae dini yake inamuambia amsamehe mbaya wake mara saba mara sabini. Hakutaka Sabaya asamehewe na taifa au dola. Lakini kama Mungu wake aliweza kumsamehe Saul, Mbowe ni nani ashindwe kumsamehe Sabaya?
Amandla...
Mbona Makonda mmempa uwaziri kabisa??Alishafikishwa mahakamani. CCM ni chama kisichovumilia watu kama Sabaya ndo maana hata kwenye nafasi za uongozi hatakiwi. Ni tofauti na CHADEMA ambao wezi wa michango ya mwenyekiti wanatetewa