Napinga kauli ya Freeman Mbowe ya kumsamehe Sabaya

Na Mimi ni raia nimepinga
Wewe ni mmoja wa wafuasi wa Chadema ya sasa ambae ninaweza kusema bila shaka yoyote kuwa heshima yako kwa Mbowe haijabadilika. Naamini kuwa unampinga kwa sababu unamheshimu na sio kwa sababu ya chuki. Uendelee na moyo huo huo wa kuwa mwananchi huru ndani ya Chadema.

Amandla...
 
Amen
 
Kwa ukatiri n.a. unyama aliofanya Sabaya hapaswi kusamehewa na yeyote na Nina hakika wako wanaopanga kulipa kisasi (nawatakia kila la heri)

Namheshimu Freeman na wote mnajua lakini namheshimu zaidi Mwenyezi Mungu ambaye hajatuagiza popote kumsamehe Shetani.

Sabaya ni aina ya vijana wanaopaswa kunyongwa hadharani, Huyu anapaswa kukamatwa na kutendewa kama Samuel Doe, unnyama alioutenda Sabaya hauandikiki hapa jukwaani, Huyu hapaswi si tu kusamehewa bali hapaswi kukaribishwa popote penye kundi la watu wema.

Sabaya anapaswa kukomeshwa ili wapumbavu wengine wa kiwango chake wajifunze na kuogopa kutenda ubaya kwa wengine, wajinga wa aina ya sabaya wanapaswa kulipwa kisasi ili wengine wajifunze kwamba madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana

Nina hakika hata familia ya Mbowe iliyoteseka na madaraka ya Sabaya Wameshangaa.

Mwisho, Japo si kw a umuhimu, KILA UBAYA UTALIPWA
ndugu mamaluki,
ni wazi kua umechanganyikiwa na chuki binafsi zinatesa sana moyo wako,
na huenda uko kwenye hatari ya

cardiac arrest​

FB_IMG_1568243182043.jpeg
 
Kwa ukatiri n.a. unyama aliofanya Sabaya hapaswi kusamehewa na yeyote na Nina hakika wako wanaopanga kulipa kisasi (nawatakia kila la heri)

Namheshimu Freeman na wote mnajua lakini namheshimu zaidi Mwenyezi Mungu ambaye hajatuagiza popote kumsamehe Shetani.

Sabaya ni aina ya vijana wanaopaswa kunyongwa hadharani, Huyu anapaswa kukamatwa na kutendewa kama Samuel Doe, unnyama alioutenda Sabaya hauandikiki hapa jukwaani, Huyu hapaswi si tu kusamehewa bali hapaswi kukaribishwa popote penye kundi la watu wema.

Sabaya anapaswa kukomeshwa ili wapumbavu wengine wa kiwango chake wajifunze na kuogopa kutenda ubaya kwa wengine, wajinga wa aina ya sabaya wanapaswa kulipwa kisasi ili wengine wajifunze kwamba madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana

Nina hakika hata familia ya Mbowe iliyoteseka na madaraka ya Sabaya Wameshangaa.

Mwisho, Japo si kw a umuhimu, KILA UBAYA UTALIPWA

View attachment 3580522
Msamaha wa mbowe ni personal… wewe Malika nini

Chakademus endeleeni na visasi
 
Back
Top Bottom