Napinga Daladala kuingizwa kwenye BRT

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,505
86,054
Kuna taarifa kuwa daladala 15 zitaongezwa kwenye mradi wa mabasi ya mwendokasi! Hapa iwe ni Kwa dharura au Kwa kawaida Bado hii ni poor planning ya kiwango kisichoweza kuvumilia.

Mnashindwaje kununua mabasi mapya? Kwani huu mradi imekuja au umejengwa ghafla? Yaani hakukua na muendelezo?

Tuliambiwa Daladala ziondoke Morogoro Road, tukaacha kujenga Hadi vituo vya daladala, Sasa hivi TUNARUDISHA daladala Tena kwenye barabara za mwendokasi ambazo MILANGO yake ni tofauti Kabisa.

Tuliwahi kusema kuwa hii miradi hatuwezi kwakua Kila kitu tunakifanya kuwa SIASA

IMG-20231019-WA0053.jpg
 
View attachment 2786786
Ccm imefeli tena.

Mradi wenye fedha hivyo wanafeli wapi?
 
Wanatafuta sababu ya Kumpa mwekezaji atakayehongwa mradi

Si unajua tunapokaribia Uchaguzi pesa zinatafutwa kwa nguvu nyingi
 
Inawezekana je hii!? Ina maana wizara inashindwa kumudu kununua(kuongeza) idadi hiyo ya mabasi ya mwendokasi? Na jee huu mradi ina maana unajiendesha kwa faida au hasara
Kila MTU ale Kwa urefu wa kamba yake
 
Kuna taarifa kuwa daladala 15 zitaongezwa kwenye mradi wa mabasi ya mwendokasi! Hapa iwe ni Kwa dharura au Kwa kawaida Bado hii ni poor planning ya kiwango kisichoweza kuvumilia.

Mnashindwaje kununua mabasi mapya? Kwani huu mradi imekuja au umejengwa ghafla? Yaani hakukua na muendelezo?

Tuliambiwa Daladala ziondoke Morogoro Road, tukaacha kujenga Hadi vituo vya daladala, Sasa hivi TUNARUDISHA daladala Tena kwenye barabara za mwendokasi ambazo MILANGO yake ni tofauti Kabisa.

Tuliwahi kusema kuwa hii miradi hatuwezi kwakua Kila kitu tunakifanya kuwa SIASA

View attachment 2786786
Mkuu inaonekana hujaelewa!! Sio kwamba hizo daladala zitatumia njia ya BRT, bali hiyo route haikuwepo kwa daladala bali ilikuwa ikifanywa na brt, tu, ila zitaruhusiwa sasa hizo daladala kwenda route hiyo.
 
Back
Top Bottom