P Peppapig JF-Expert Member Joined Oct 29, 2020 Posts 966 Reaction score 1,491 Aug 19, 2021 #161 Nyani ngabu huyo mtoto kwenye avatar yako, He is super cuteš
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,428 Reaction score 11,836 Aug 19, 2021 #162 Mightier said: Ugaidi wa Kiimani urapungua Tanzania. Click to expand... Dini ya Kikisto haiwezi kujihusisha na Ugaini abadan! Msingi wa Imani ya Kikristo ni UPENDO. Imeandikwa : hata mtu akiwa na imani kubwa kiasi cha kuweza kuhamisha milima kungāoka kwenda kutupwa baharini pasipo upendo ni kazi bure Penye upendo hapana chuki, husuda, visasi n.k. Misingi ya Ugaidi ni chuki, husuda , visasi ,imani haba n.k Ukristo unakataza kuua binadamu awaye yote hata asiye mkristo. Mkristo anaagizwa kuwa na upendo na jirani kama anavyojipenda nafsi yake mwenyewe. Jirani ni mtu yoyote hata asiye Mkristo.
Mightier said: Ugaidi wa Kiimani urapungua Tanzania. Click to expand... Dini ya Kikisto haiwezi kujihusisha na Ugaini abadan! Msingi wa Imani ya Kikristo ni UPENDO. Imeandikwa : hata mtu akiwa na imani kubwa kiasi cha kuweza kuhamisha milima kungāoka kwenda kutupwa baharini pasipo upendo ni kazi bure Penye upendo hapana chuki, husuda, visasi n.k. Misingi ya Ugaidi ni chuki, husuda , visasi ,imani haba n.k Ukristo unakataza kuua binadamu awaye yote hata asiye mkristo. Mkristo anaagizwa kuwa na upendo na jirani kama anavyojipenda nafsi yake mwenyewe. Jirani ni mtu yoyote hata asiye Mkristo.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,076 Reaction score 136,497 Aug 22, 2021 Thread starter #163 Naona upumbavu umeendelea leo hapo panapoitwa kanisani!