kwa ujumla mimi ni janki tu handsome boy
kuwatongoza kwake ni very simple
hawana gharama
wanajua mambo ya sita kwa sita
OMBI langu kwenu wana jf naomba ushauri wenu nitawezaje kuacha tabia hii, kwa sababu nataka kuoa na kuwa na watoto
kwa ujumla mimi ni janki
tu handsome boy, tatizo ninalokutana nalo natembea sana na vibibi
vizee..sipendi hii tabia lakini imeshaingia kwenye damu. sababu nadhani
ni 1.kuwatongoza kwake ni very simple 2 wanajua kubembeleza kuliko
vijana .3 hawana gharama 4.wanajua mambo ya sita kwa sita OMBI langu
kwenu wana jf naomba ushauri wenu nitawezaje kuacha tabia hii, kwa
sababu nataka kuoa na kuwa na watoto, hawa vibibi vimesha fika
meno_pause ivyo hawawezi kunizalia watoto
Uko Tz ama wapi? Kwa sababu kuna nchi nlikua hahahah wazeee wanatongoza vijana balaa hasa wanajuaga waafrika wanaBigBanana