kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,351
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Nimefuatilia kwa miaka mitatu hivi, nimeona wizara ya elimu na baraza la mitihani hazilijumuishi somo la General Studies ktk ukokotoaji wa division.
Kuna kipindi lilikuwa na alama 'S' na ktk kipindi hiki ilikuwa ukipata 'F' hili somo hata kama masomo mengine yote ukapata 'A' ungepigwa penati na kupata division 3.
Sasa hivi hili somo wamelipa alama A-F kama masomo mengine ila kwenye kutafuta division hawalijumuishi, na hali hii imefanya kwa miaka hii mitatu hivi wanafunzi wengi kupata F nyingi ktk hili somo kwa sababu halina uzito tena kwao. Sasa ninachouliza wadau kwa nini hili somo lisifutwe tu yakabaki Yale matatu tu,au lina uzito mahali fulani?
Sent using Jamii Forums mobile app