Napendekeza sare kwa Vyuo Vikuu vyote na VETA

Feb 23, 2017
30
5
Hallow guys. Jina langu ni meshack Meshach mebamto mtobwa.

Nina mada ndogo ila muhimu sana ninacho kuomba usitukane wala kutoa maneno machafu changia points.

Napendekeza kuwe na uniforms (SARE) katika vyuo vikuu vyote na veta kwa lengo LA

1.Kuepusha tamaa kwa Dada zetu ambao wanafikia kuingia kwenye vishawishi kwaajili ya kupata pesa akanunue nguo abadili kila siku kama wengne

2.kuondoa vishawishi kwa vijana na walimu kwa wale wanao vaa nusu uchi.

Namengine mengi utaongezea faida na hasara za kuto kuvaa uniforms.

Tujifunze kwa nchi za wenzetu mfano KOREA,MARECAN na nchi nyingi tu wanafanya ivyo.

Sare sio lazma kuwa shat jeupe na suruali nyeusi. Wenzetu wanavaa sutu.nguo nzuri mpaka inavutia ila kinacho takiwa iwe sare .

KARIBU KUTOA MAONI YAKO.
BY mebamto's
Wisdom.b@b.m
 
Unaumwa wewe kwani wale ni watoto tamaa za nini mtu akitaka sex ruksa au hautambui sex iko kwenye universal declaration of human rights 1948

Ukumbuke chuo kikuu kuna wake na waume za watu pia, kufanya ni sawa na kuwambia watanzania wote wavae sare pia chuoni kuna watu wa mataifa mengine ujue.
 
Binafsi siungi mkono hii hoja yako yaani kwanzia vidudu hadii form 6 we ni sale tuu, then na chuo tena eeeh hapana kama MTU ana jitambua atanunua nguo ambazo zitafaa hadi kwenye Field pia kazini pindi atakapo ajiriwa au kujiajiri ili kuepusha gharama zisizo na msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaumwa wewe kwani wale ni watoto tamaa za nini mtu akitaka sex ruksa au hautambui sex iko kwenye universal of human rights 1948

Ukumbuke chuo kikuu kuna wake na waume za watu pia, kufanya ni sawa na kuwambia watanzania wote wavae sare pia chuoni kuna watu wa mataifa mengine ujue.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama haojaliishi unajua watu wengi hususani mabinti waharibikia vyuoni
Tabia
Maadili
Mienendo
 
Binafsi siungi mkono hii hoja yako yaani kwanzia vidudu hadii form 6 we ni sale tuu, then na chuo tena eeeh hapana kama MTU ana jitambua atanunua nguo ambazo zitafaa hadi kwenye Field pia kazini pindi atakapo ajiriwa au kujiajiri ili kuepusha gharama zisizo na msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha sare sio lazima kaptula na shati jeupe mpendwa watu wanavaa suti pamba Kali angalia ata I ndi
 
Hallow guys. Jina langu ni meshack Meshach mebamto mtobwa.

Nina mada ndogo ila muhimu sana ninacho kuomba usitukane wala kutoa maneno machafu changia points.

Napendekeza kuwe na uniforms (SARE) katika vyuo vikuu vyote na veta kwa lengo LA

1.Kuepusha tamaa kwa Dada zetu ambao wanafikia kuingia kwenye vishawishi kwaajili ya kupata pesa akanunue nguo abadili kila siku kama wengne

2.kuondoa vishawishi kwa vijana na walimu kwa wale wanao vaa nusu uchi.

Namengine mengi utaongezea faida na hasara za kuto kuvaa uniforms.

Tujifunze kwa nchi za wenzetu mfano KOREA,MARECAN na nchi nyingi tu wanafanya ivyo.

Sare sio lazma kuwa shat jeupe na suruali nyeusi. Wenzetu wanavaa sutu.nguo nzuri mpaka inavutia ila kinacho takiwa iwe sare .

KARIBU KUTOA MAONI YAKO.
BY mebamto's
Wisdom.b@b.m
Mbona shule za msingi na sekondari wanavaa uniforms lakini hakuko shwali? mimba za utotoni ni nyingi? huna hoja kak ukalale.
 
Back
Top Bottom