Napendekeza huyu ndie awe mgombea

Napendekeza huyu ndie awe mgombea

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,051
Reaction score
831,657
1419527885113.jpg
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, kwa ccm mbona kila kitu kinawezekana
 
Tena na matatizo yote ya wananchi yatakwisha na hapatakuwa na ulofa au umasikini na kila mwananchi atapewa mabilioni je hapo tena kuna ulofa
 
Wanasemaga mchawi mkabidhi mwanao akulelee..
 
Mtani jiandae kung'olewa kucha

Nimeaga kwetu hawaniwezi aslani, kuna mmoja alinitishia kwenye simu baada ya post fulani iliyohusu ccm, nikampigia nikamwambia usisubiri kunitafuta kwasababu alitumia neno 'tukikupata' Nikamwambia niambieni mlipo niwafuate AKAUFYATA
 
Wakimweka huyu, Hata kampeni hatupigi. Le tegeta eskroo . Jamaa mwizi mpaka anajiogopa
 
Back
Top Bottom