Napendekeza 2020 tufanye uchaguzi kwenye majimbo yanayotawaliwa na wapinzani

Elimu ya hapa na pale

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
846
825
Wapendwa hodi tenaaa,
Kwa speed hii ya Magufuli najua atashinda kwa kishindo kikubwa mno kwa uchaguzi wa 2020.
Ili tusiharibu fedha za bure na huku raisi tunaye, na wabunge wake wa ccm, maaana najua wote watashindaa si bora tuwaombe wabunge wapitishe kwamba tufanye uchaguzi kwenye yale majimbo ya upinzani ili kuokoa mda na garama mbalimbali na hiyo bajeti nyingine itumike kwenye shughuli za kijamiiiii.
Nimaoni yangu tuuu waungwanaaa
 
ID yako inaendana na mawazo yako!
Kweli hii dunia haiko fair wazazi wengine wanazaa watoto wenye akili kama Lissu mpaka anaihenyesha serikali!
Wengine wanafyatua vilaza kama huyu mleta uzi
 
Ingekuwa matusi yanaleta ushindi mungeshindaa.
Haaaaa haaaaaa.
Ila ukweli unaumaaa
 
kwel fikra zinatofautiana, wakat wengine fikra zao zikiwa zinafika umbali wa Km 500+ huyu jamaa fikra zake ni urefu wa kidole gumba
 
Wapendwa hodi tenaaa,
Kwa speed hii ya Magufuli najua atashinda kwa kishindo kikubwa mno kwa uchaguzi wa 2020.
Ili tusiharibu fedha za bure na huku raisi tunaye, na wabunge wake wa ccm, maaana najua wote watashindaa si bora tuwaombe wabunge wapitishe kwamba tufanye uchaguzi kwenye yale majimbo ya upinzani ili kuokoa mda na garama mbalimbali na hiyo bajeti nyingine itumike kwenye shughuli za kijamiiiii.
Nimaoni yangu tuuu waungwanaaa

Mweleze Mwenyekiti wako maana jakishasema inakuwa Sheria.
 
Back
Top Bottom