Napenda wanawake wenzangu

Dah, mi ningependa kufahamu unapokuwa na uhusiano na mwanamke mwenzio je ni wewe unaye play part ya mwanaume au ni hao wanawake unao date nao? Au huwa mnafanya nini au vitendo gani kujiridhisha kimapenzi.
 
Wewe ni sawa na wale gays ambao they tottaly look like normal men.Huna hormonal mix wala nini,na ww kuacha inakua vigumu koz no1 knows or can even.have a clue about it.Ni Mungu tu hapo na psychological advice.
Na chondechonde dnt get married kabla hujasolve hilo tatizo kwan utamtrsa huyo mme na ndoa itakuwa chungu.
 
Maombi ya mwenye dhambi nichukizo kwa Mungu okoka leo na Yesu a talitoa hilo pepo

Kama maombi ya mwenye dhambi ni chukizo, ataokokaje bila kuomba msamaha kwa toba ya kweli?
 
katika pita pita zangu nimegundua kuwa lesbians wengi huwa wanatoka familia bora.
sijui huwa ni kwa nini??
 
Nashukuru sana kwa mawazo yenu.Najisikia kutua mzigo mzito.Naombeni na nyie mniombee maana hali hii napambana nayo sana.Nimeamua kuwa na marafiki wa kiume zaidi.Sio kwamba niko single,nina boyfriend japo hatuishi pamoja tuko mikoa tafauti.Najaribu sana nisifeel boared kuwa naye maana hilo ni tatizo kubwa.Nafeel kuchoka mahusiano mapema sana.Nimamua atlst kuwa nawasiliana nae sio chini ya 3 times a day.Hata ninapokuwa sijisikii kufanya hivyo.Mniombee tafadhali na mm naomba sana.
 
Kuna aliyeniuliza elimu yangu...Nina elimu ya Masters.Nimesoma shule ya mchanganyiko O level na A level japo ni za boarding.Pia nimesoma Uingereza.Niliwahi kumuona psychologist nikiwa Uingereza ila sikufurahishwa na jibu lako maana aliniambia i have to accept what I am.Mm najua vitabu vya dini haviruhusu,pia najisikia guilty sana.Kwa hiyo tulikuwa tunapishana mitizamo
 

mmmmmm nimeogopa sana kumbeeeee hapa kuna mtu itabid nimpige stop sifa kibao utazan mwanaume??? mazoea ya huyu dada nimeanza kuyaogopa polee.
 
mmmmhhh haya mambo bwana halafu wengi wanaanzia boarding school
 

Eeeh! polee kwa kweli ila saasa unapokuwa na mwanamke mwenzio unafanya au unnafanyiwa kama yale mwanaume amfanyiayo mwanamkee au? yaani mii ktk hili bado niko kizani i wish ningepata angalau chabo ya kuona mfanyayo my be utomaso ungenipungua..
 
Trust me dada angu suluhisho la mapenzi ni mpenzi.....as long kila kona ya mwili wako uko sawa huna tatizo hayo ya kupenda wanawake wenzio ni addiction na huwa haitoki mara ghafla u need time na ujiwekee conditions...hata ukishauriwa humu mwisho wa siku we ndio utakuwa mtekelezaji kama toka moyoni umekuwa addiicted maamuz yatategemeana na mazingira....1.badili marafiki na hobbies. 2.change general timetable weka vitu vipya na vigeni kabisa maishani(but viwe positive). 3.tafuta bf ambaye anakufahamu awe na imani na uvumilivu(a close friend preffered) but asiwe na mahusiano mengine zaid yako. 4 tafuta motives za kufanya utaman ngono na mwanaume kama kuangalia x videos,kucheza na mwanaume music,kulala na kuwa karibu na mwanaume,kushare ideas ambazo zinahusisha mahusiano ya mume na mke. 5. Fanya vyote ambavyo bf wako atataka pasipo kuweka mawazo kuwa una tatizo baada ya muda utajikuta umezoea maisha mapya.
N.B; bf huyo awe na mapenz ya dhati asiwe easy kukata tamaa kwan addiction inahitaji muda na uvumilivu kuisha,then upande wako ujue kuwa unabadili tabia moja kwenda nyingine so kuna vitu ambavyo vitamis kwenye dopamine usifuate raja unazokosa but jins utakavyokuwa unakosa aman na maisha mapya ndio tatizo linaondoka usije kata tamaa kwan itakuchukua muda mrefu....kama hujanielewa pm nikueleweshe tena,thanks nawasilisha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ukweli ni kwamba mapenzi ya jinsia Moja hasa kwa watoto wa kike ni jambo ambalo hutokea sana hasa ktk shule za bweni lkn alianzi hiv hiv huwa na chanzo na chanzo nicare iliyopitiliza watoto wakike wanawahi kuwaamini sana wale wanaowajali mmo hasa wakiwa ni jinsia moja na mwisho uanza kujiusisha na vitendo vya mapenzi kama ya mke na Mme kwa ufupi wewe sio tom boy Bali wewe ni client wa lesbians tom boy na ndio maana wewe hautongozi ila unatongozwa na ukitaka kujua nikwanin unatongozwa wewe nikwakua your facial expresses that attraction kwaufupi we ndiye mswagwaji chakufanya find a a guy ukiwa unadate NAE be open to tell him what you want that will make u have multiorgasim am sure you will lyk men na utaacha hiyo tabia jiamin
 
Kwa hiyo wewe ni Lesbian laki hutaki kuwa hivyo?
Unataka uwe straight ..

Ndio hicho unacho ombea ushauri au ?
 
Reactions: BAK
Nakuombea Mungu wa mbinguni akufungue, amefungua wengi nikiwemo mimi hawezi kushindwa kwako. Unaamini kuwa Mungu anaweza???
Yesu anasema "njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha" yote yanayokushinda yapeleke msalabani. Hilo lako ni jambo dogo sana, usiwaze kuomba ushauri humu jamvini, waza kulipeleka msalabani, hakika utashuhudia matendo makuu.
AMEN
 

upungufu wa akili
 

Sister za saa hizi? Nimesoma simulizi lako na limenigusa, naomba unipe nafasi ya kuwa na wewe nitajitahidi kukufanya ufurahie maisha ya kuwa na mwanaume, na hata ikishindikana nitakupa support ya kutafuta njia mbadala.Pole xana kwa waliokutukana/ kebehi etc. Naamini utanijibu. Good morning.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…