Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
kilizi hilo sio jambo la ajabu kutokea kwa Mwanamke
Unachohitaji ni Psychiatric advise tu mambo yote yatakaa sawa.
Nikute Pm Km unataka Kusaidiwa.
mtoa mada kuwa makini na pm ya mshkaji unaweza ongeza tatizo badala ya kupunguza
ni pm nikusaidie
uje kanisani kwa mchungaji katunzi sabasaba yani wewe umetupiwa pepo ndio linakutesa nimeona kwa macho yakiwatoka watu hapa kanisani kila siku saa kumi ni ibada ukumbi wa ngorongoro ndani ta viwanja vya sabasaba maonyeshi jumapili.ibada saa 3 asubuhi tatizo hilo naamini litakwisha unaweza kuomba kuonana na mchungaji nakumueleza au ukaja kwenye maombi ukiuliza. mchungaji katunzi hapo sabasaba watakuonyesha
nyie ndo wale wale tu mchungaji mchungaji!!
Uko sahihi kiasi fulani, lakini ni mapepo ndiyo husababisha hali hii. Shetani hufanya kazi kupitia mapepo, majini, nk
Hakuna majini mema, wanaosema kuna majini wema ni waabudu shetani
Acha kudanganya watu wewe!
Shetani, mapepo na majini n.k ndio nini!
Au hio kadhalika Ni Cdm!
mbona unaumia sana tukisema majini ni mashetani? Uko nayo dini moja?