Mabonge wana joto saiv ni msimi wa baridi na mvua tuache tusifiwe jamani
Hao wembamba wamepoa km nini akijua kuna mechi anajiotesha moto ili apate joto
Unaumwa wewe si bure..!Nimetokea kupenda kufanya mapenzi na wanawake wenye matumbo makubwa(vitambi).
Sio siri wanawake wa aina hii wana joto sana yaani ukiwa unashika shika nyama za tumbo mzuka unapanda fasta.
Huoni mvua hizi hata chongo litaitwa kengeza acha tujifariji
nawe unacho hahahahMungu ni mwema
Mkuu nataka nijue kwakweli nakuja inbox unijibu tuNimekusamehe mkuu msitufanyie hivyo na sisi tunapenda kupata raha
Ujue nn na wakati umewapondea wanaume wanaotumiliki wanawake kwenye vitambi kwamba wana moyo mgumu kama mashabiki wa arsenalMkuu nataka nijue kwakweli nakuja inbox unijibu tu
Aiseee kwahiyo unayasikia raha ukiyalaliaNi malaini sana yaani ukiwa juu utafikiri umelalia godoro la sufi
[emoji102]Alaf mm n mtt mwema tena
Kwanza cjui hata kukaa kijiwen
Cha kahawa kwahyo staweza
Kutangaza
Naomba tu nije nchi kavu kidogo
Amesema yanajoto na mzima unapanda faster.Asante Mungu na sisi tumeonekana leo kwahiyo mkuu unayapendea nn matumbo yetu
Sasa nyie wenye flat screen tumboni ngojeni uzi wenu nauandaaHahahaaaa. Haya bana kila mmoja na kipendacho hivyo wacha tu wenye vitambi wafurahi kwa kweli.
Kila umbo lina mashabiki wake kilamtu asubiri hapo hapo watakuja mashabiki wako wanaopenda ulivyo.kuanzia leo nitaanza kujidai kumbe kuna wanaovifagilia vitambi eeh nilikuwa sijui hili vitambi oyee
Inbox yakoHebu nipe asee
Hakija ziba?Usijali binamu tutaongea tu nina kitambi mpaka nakiogopa mie kimeshuka sana kwa chini
Mngh!Woyooooo!!!
Watu na vitambi vyetuu!
Boss wangu anasemaga ni personality!! Yaani kile ukiwa popote lazima heshima iwepo!
Mngh!Asante Mungu na sisi tumeonekana leo kwahiyo mkuu unayapendea nn matumbo yetu
Hahahaa. Utuandaliage tu rafiki nasubiria mie.Sasa nyie wenye flat screen tumboni ngojeni uzi wenu nauandaa