Napenda wanawake wenye vitambi

Napenda wanawake wenye vitambi

Hahaha
Halafu ni ukweli!! Mfano nikienda hospital kumuona mgonjwa muda ukiwa bado au umeisha, utaona watu wananipisha tuu mpaka mlinzi afungua gate naingia!
Huwa najiuliza kwani inakuwajeee?!

Jibu ni personality!
Kuna siku hosp ya mkoa moro hilo gate lilikuwa limefungwa mpaka uzunguke, jamani tulikuwa tulikubaliwa 2
mie na mbaba 1 wengine waliambiwa wazunguke nikachekea tumboni tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom