Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,723
- 126,575
Nipo mkuu, nimeingia muda si mrefu humuUpooooo!
Nipo mkuu, nimeingia muda si mrefu humuUpooooo!
Mngh!Naisubiri kwa hamu mie hiyo siku
EwaaaaaKwenye kikao
Utupige ban na leo!Mimi apa jamani
Na kweliLabda atakuwa majukwaa mengine au majukumu tu
Wewe ushakuwa ndugu yangu super glue hakuna tena unaingia mda wowote unaojisikiaNa ww hapo!
Shati langu la blue kama afisa flani hivi kumbeee!Hahaha
Yaani wataulizana hukoo!!! Kama mapacha watatu vileeeee!! Na michomeko yetuu
HahahaYaani weeeweee!
Ndio nimelivaaa hapa
hhahhahaaa
Hahahah nini sasaMngh!
Umelima wapiNataka jamani
Yaani kuanzia hapo nikawa makini, ushakutana na mtu anakwambia nitafutue kazi dada jamaniHahaha
Yaani wala huwa sithubutu kabisaaa



Jamani mm na umod wapi na wapi msije mkasababisha watu wanikimbieUtupige ban na leo!
HahahaWavimbe tu![]()
Utataka na visivyotakikanaNataka jamani
Kulima kunahusiana nn na mambo za hela ya sodaUmelima wapi
HahahaNa mzigua anaonekana mtata kweli ,anaweza kondesha mtu
Hahahhahaaa
KhaaaaaaHahaha
Unalipendaa!! Mie kila nikiona mtu mwenye amevaa shati la blue huwa nawaza niwewe tuuu
Kabisaaa akipersonality huwa haimdanganyi mtu
Yaani Shunie nina wasi wasi na ww aki!kwani mm mod