Nimekuja mimi jamaniHalafu alikuwa anakutafuta
@mbalizi1 ukuje hukuNimekuja mimi jamani
Hahaa rafiki yangu kule mi ni kwa kubahatisha sana. Yani mpaka niikute thread siyo mimi kuingia.Hahahaaa. Ndio hivyo rafiki kipenda roho hicho.
Mie mzima sana tu rafiki yangu. Kitambo sana yaani. Naona hata yale maeneo hupiti siku hizi.
Niaje lakini?
Hahahaaa. Sawa rafiki.Hahaa rafiki yangu kule mi ni kwa kubahatisha sana. Yani mpaka niikute thread siyo mimi kuingia.
Kwangu kwema. Vipi michakato.?
Nilikuwa napita kimyakimya amenichekesha nmeshindwa kuvumiliaHahhaha kafanyaje jamani dada angu mie
Yaani hapa nilikuwa nakuwaza ww tuuuuuuuNimekuja mimi jamani
HahahhahaahNilikuwa napita kimyakimya amenichekesha nmeshindwa kuvumilia
WoyoooooooooooYaani hapa nilikuwa nakuwaza ww tuuuuuuu
WoyoooooYaani hapa nilikuwa nakuwaza ww tuuuuuuu
KhaaaaWoyooooooooooo
Unacheka nini tena TumooNilikuwa napita kimyakimya amenichekesha nmeshindwa kuvumilia
Hahhahah si alikwambia ni kapuku jamaniWoyooooo
Vipi umekusanya mahela au
Ni nini lakini jamaniKhaaaa
HahahaHahhahah si alikwambia ni kapuku jamani
Unataka ninuniwe tena jamaniNi nini lakini jamani
Nakuona na kitambi chakoUnacheka nini tena Tumoo
Hahhaha sasa anapata wapi helaHahaha
Yeye si katibu wangu jamanii
Sema personality bhana!!Nakuona na kitambi chako
Unataka ninuniwe tena jamani




nishasahau hivi nitaweza kweli shunie mm