mchecheto
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 1,532
- 1,465
mkuu ebu funguka kiundaniHapana Sky, kwani mtu mzima mpaka awe na 50+?!!, kuanzia 45 huyo tayari mtu mzima.
Binafsi mimi mmojawapo wenye ugonjwa wa wamama ambao umri kidogo umeenda, wana utofauti katika mambo mengi, kuanzia anapodai kitu ulichomuahidi mpaka kitandani kwenye kula Chungwa, nna mama mwenye 49-50 Chubby ya maana ya kilatino, nakula vitu laini kama Maini sijutii kwa kweli kuwa na yeye.
Naunga mkono hoja ya mleta mada, vitu aged ndio vyenyewe.