Napenda wanawake watu wazima

Napenda wanawake watu wazima

uko kama mimi mkuu,yaani huwa wana nidhamu sana,na ukiweza kumkunja vyema basi ujue kila siku anakupa shukran Utasikia"yaani kwenye ujana wangu wote sijawahi kupewa vitu kama hivi"
Binafsi, huwa napenda sana kudate mwanamke mtu mzima. Nadhani ni kwasababau girlfriend wangu wa kwanza alikuwa mtu mzima, yaani alinizidi umri. They have this kind of taste to me, yaani sijui hata niielezeeje.

Huwa napenda vile ninavyoongea nae, ile feeling kwamba I'm reasoning with a matured person, ile heshima anayonipa ya kusikiliza mawazo yangu, na hata ule ushirikiano wa hapa na pale at the end of the day; kuna kuwa hakuna tofauti ya yeye kunizidi umri. I mean by numbers ni kweli anaweza kuwa over 5 or 6 etc, but between us, hakuna ile sense tena au ule mgawanyo kwamba flani ni mkubwa, bwana wangu ni mdogo, etc.

Na huwa tuna blend in vizuri sana. Hata kwenye kuachana, penzi hilo ndo huwa linaniuma zaidi na kubakisha memories nyingi kuliko la binti rika langu.

The most good part ya penzi hili; huwa ni yeye kama mtu mzima, wakati wa romance/bedroom, nampa vitu ambavyo ujanani alivimiss because of course mimi ni kijana, hivyo nampa penzi la ujana. Pia mimi kwangu anakuwa unique, kwasababu napata fursa ya kuonja mambo ya kiutu uzima.

I love these matured ladies!

[HASHTAG]#SpeakingMyMind[/HASHTAG]
 
Nawe subiri kufumuliwa marinda!
 
Be free to express your feelings to any one that's Will make you feel free
 
Taratibu mkuu nacheka sana jaman na usiku huu nitaitwa mwanga
He he he
Watoto wa mwisho kuzaliwa(vitinda mimba) mna matatizo sana, full kupenda kubebishwa bebishwa na simple life.

Kwa mwanaume kushiriki zinaa na mtu aliyekuzidi umri ni sawa na kuwa na urafiki na shetani la ziwani wanaliita chunusi.

Yaani unanyonywa damu dogo.
 
Watu hawajui tu. Tatizo hakuna aliyewahi kusema na ukisema unaitwa marioo etc, so inabidi kuwa siri kati ya wanawake hao na wanaume wao wa umri mdogo. kimya kimya
Ila 95% ni umario tu hakuna mapenzi
 
Mungu tusaidie kizazi kinaangamia

Kwa kweli
Lakini usiwe na wasiwasi maana waswahili husema ‘mtoto akililia wembe mpe’ Bahati mbaya hawajui kuwa ukila pesa ya mwanamke lazima ikutokee puani! Utakuwa mtumwa wake ila na mwanamke anayechukua kiBen10 analo maana kuchit kwa visichana ambapo kiBen10 kinahonga hela ya jimama itakuwa order of the day . Hayo hata sisi yanatupata wakati tukihonga dogodogo nao hutoa utamu na ngawira tunazowahonga kwa agemate
 
Yaan anaeumia ni kiben10 maana mama kwani hasara iko wapi? Wanasema tumia hela ikuzoee, mm naomba Mungu kizazi chetu kifunguke ohoo God have Mercy on us loooooh
 
Upo sahihi! Ila lazima sisi wazazi tuhakikishe tunawalea na kuwafundisha madhara ya kupenda Umarioo. Mfano angalia hii mpaka mwisho na baadaye tuendelee kuchambua:
 
Naombeni udaku na chitchat mfungue uzi wenu...eti wazazi, mnafanya nini JF badala ya kulea watoto wenu sasa?
 
  • Thanks
Reactions: sab
Naombeni udaku na chitchat mfungue uzi wenu...eti wazazi, mnafanya nini JF badala ya kulea watoto wenu sasa?
Wazazi tupo humu kuwalea nyie wanetu. Wazazi hawatakiwi kuwa Facebook na Ins hapa JF ni kwa ajili ya watu wazima na si kwa wavulana hasa Mamarioo kama wewe. CC jje's
 
Ok, basi haya endelea kulea kidijitali.
 
Wazazi tupo humu kuwalea nyie wanetu. Wazazi hawatakiwi kuwa Facebook na Ins hapa JF ni kwa ajili ya watu wazima na si kwa wavulana hasa Mamarioo kama wewe. CC jje's
mueleze kabisa, inabidi mods waangalie umri wa kujisajili humu
teh teh
 
Mapenzi raha take u date age mate wako, haya mambo ya kukaa na watu wazima Wakati wewe unawaza mwimbo wa Diamond mwenzako anawaza mirathi ya mume wake

Hapana Sky, kwani mtu mzima mpaka awe na 50+?!!, kuanzia 45 huyo tayari mtu mzima.
Binafsi mimi mmojawapo wenye ugonjwa wa wamama ambao umri kidogo umeenda, wana utofauti katika mambo mengi, kuanzia anapodai kitu ulichomuahidi mpaka kitandani kwenye kula Chungwa, nna mama mwenye 49-50 Chubby ya maana ya kilatino, nakula vitu laini kama Maini sijutii kwa kweli kuwa na yeye.
Naunga mkono hoja ya mleta mada, vitu aged ndio vyenyewe.
 
zile drama za muda wa kazi...nyie full kuchat tu, mara emoji za maua etc, no way. We talk after work, meet for dinner, then go rest....very calm and professional and maturely.

Kaka hapa ndio umepiga penyewe, hawanaga habari ya kuchanganya muda wa Oil yeye aweke Maji, muda wa Oil ni Oil tu, na wa Maji ni Maji tu.
Hivi vibint vyetu muda wa kustarehe yeye ndio anaona muda wa silaha kwake, anakukukumbushia Iphone yake bila ya kujua kama hutaki kumnunulia hata afanyeje ataendelea kupigwa sound huku papuchi inaliwa.
Watu wazima hawana hiyo, hata kama wanayo ni kwa staha, sio kufanya papuchi zao ndio silaha ya kupata wakitakacho.
Sijutii kuwa nae, ana kazi yake nami nina yangu tunakula maisha, taratibu vitu laini kama Toilet paper, tunakwazana lakini kufikia muafaka very easy, bakini tu na hao age mate wenu, sie tunakula vitu vilivyokomaa kila idara.
 
Back
Top Bottom