Napenda wanawake watu wazima

Napenda wanawake watu wazima

Sio mbaya, ila kumbuka kuna muda utafika mwanamke mihemuko ya mapenzi itapungua, kwa upande wako ndo itakuwa kama inachipua, hapo utamwona hafai na kuamua kuchakurachakura kwingine.
 
As long wewe sio ki ben10 na hauvunji sharia za nchi good for you then, enjoy mkuu, life is too short
 
Hongera kwa kujitambau kwa hilo na kuliweka wazi, sidhani katika nyakati ya sasa ni kitu kigeni machoni pa watu sema ni vile makuzi ya wengi wetu yametokea kwa kuona mwanamme ndio anatakiwa kuwa mkubwa kwa umri kwenye mahusiano.

Tahadhari tu , usije kujisahau wanawake wanakikomo kwenye kujaliwa watoto.
yeye yupo na hao kwa ajili ya kugegedana tuu.ile ameenda bar kaja mmama amepaki prado hapo anaanza mazoea namba za simu kampani za pombe na mwishowe chupi inavuliwa
 
yeye yupo na hao kwa ajili ya kugegedana tuu.ile ameenda bar kaja mmama amepaki prado hapo anaanza mazoea namba za simu kampani za pombe na mwishowe chupi inavuliwa
Oohhh basi nimemuelewa tofauti.

Kheri Hansen fafanua please, hawa wadada/wamama unakuwa unawavizia kwa ajili ya good time only au kwa ajili ya kujenga maisha?
 
Hapa nmegundua asilimia kubwa ya wanaume wanapenda wamama watu wazima.
 
Kwa kifupi tu wadada wanaraha yake sana. Hawana zile hadithi za watoto wadogo hasa hawa chips kuku. Wana vionjo fulani hivi ambavyo huwez kumweleza mtu akakuelewa kwa haraka, siyo wasumbufu, wako systematic sana!

Mabinti hawa ni wazuri ila wana pro-forma invoice za ajabu ajabu sana kuna zile story za vocha sijui bando imekwisha ndiyo maana sijakutafuta jana na n.k na hujakaa mguu sawa unaskia tena ooh sijaona siku zangu, full changamoto.!

Tatizo jamii hii ya kitanzania ikiona mtu kadate na mdada wanahisi labda unalelewa kumbe huko ndani kijana wawatu unapambana mpaka basi kulinda penzi lako kwa mdada. West or est penzi la mdada ni zuri na tamu kuliko la hawa chenchede.

Naomba niishie hapa!
 
Utakua usha athirika wewe wadudu sasa wanapanda kichwan
 
Nahisi kama ume changanya kidogo. .wadada...watoto wadogo....mabinti

Muhusika ameongelea wamama
 
Na mvi za kitumbua unaziangalia au inakuwa ni wakati wa giza tu! Hongera sana ila umarioo una mwisho. Angalia jinsi ambavyo Dai anajaribu kujinasua inavyokuwa karaha. Mwanaume huwa tunachukua dogodogo tu. Una miaka 70 unachukua binti miaka 18. Hapo ndipo unajiona dume hasa si una miaka 18 unachukua mabibi kama Kasie unajina mjanja. Unabemendwa na kuzamishwa chumvini tu

Hadi siku ubananishwe ndo utaacha kuchokonoa watu.

Enjoy the flavour.
 
Back
Top Bottom