Napenda wanawake watu wazima

Napenda wanawake watu wazima

Hongera,as longer as it makes you happy. Nadhani hupendi dramas za kitoto toto,na unachukulia uhusiano kuwa kitu kinachopaswa kuwa na faida kwenu nyote.
 
Hongera,as longer as it makes you happy. Nadhani hupendi dramas za kitoto toto,na unachukulia uhusiano kuwa kitu kinachopaswa kuwa na faida kwenu nyote.
zile drama za muda wa kazi...nyie full kuchat tu, mara emoji za maua etc, no way. We talk after work, meet for dinner, then go rest....very calm and professional and maturely.
 
Kumbe tupo wengi, Embe changa na embe lililo komaa lipi tamu? Ukipata jibu = ndio sababu yangu kudate na watu wazima
 
Wamekomalia vibinti vya shule, na vikaka vyenye hela za urithi...eti ndo wanaita kutoka na rika lako.

Binadamu wanajua kujudge sana...

Sasa ikiwa mwanaume anayo pesa akaamua kudate na mtu mzima naye watamuita kiben 10.
 
Back
Top Bottom