Napenda wanaume maarufu

...what if akiwa anachangamsha genge!! Kuamini kila kinacholetwa huku ni hataree...

Mtu huwa anaigiza more than 50% ya maisha yake halisi nadhani hii niliisoma sehemu
 
Mimi Siyo maarufu kivilee Ila nawasimamia wasanii kadhaa hapa town Na Pesa ninayo ya kutosha vipi Sihitajiki? ?
 
Hahahahaha lol!!! Al Maarufu kabanga, ukiwa maarufu tu basi pichu inavuka yenyewe hata kabla hujaigusa 🙂🙂


mimi hapa jf ni maarufu je unalijua hilo...?
 
Last edited by a moderator:
^^
Jitahidi, unaweza kuwa First lady baadae. Ya Kesho mengi.
^^
 
Wewe sio mwanamke..Mpuuzi huna haja ya kuwepo dunia..
 
Njoo nikupe wangu,maharufu sana ili mladi mpime,maan kazi yake lazima apime akiwa kazini nje ya nchi,me mwanaume maharufu simwihitaji kwa Sasa
 
Wewe sio mwanamke..Mpuuzi huna haja ya kuwepo dunia..

Mamayako ndo mpuuzi wa mwisho,kama huna mpango au huna levo za kuwa maarufu tuliza hi chcho kipapa chKor. Wewe
 
Mkuu nisaidie wameishakupitia wangapi? nafanya research ya kwa nini taifa hili lina viongozi maarufu lkn halisongi mbele.
si lazima uniwekee hapa unaweza kuniPM asante.
 
Unataka maarufu kufidia kujishtukia kwako. Inferiority complex.
Ni ugonjwa huo wa kisaikolojia. Jiamini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…