Napenda shombe shombe ila sijabahatika

Napenda shombe shombe ila sijabahatika

ramona

Senior Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
174
Reaction score
264
Jamani napenda sana kuwa na mtoto shombe shombe ila ndio hivyo sijabahatika kuolewa na mtu wa hivyo. Nimeolewa na mtu mwenye sura ngumu kuanzia yeye mpaka familia yao yote mpaka naogopa zaa nae. Japo kila siku anakazania anataka mtoto ila ndio hivyo naogopa. Nampenda sana ananipenda pia amani treat kama queen ila hmmm nikifikiria kuzaa nae moyo wangu unasita. Kuna mwanamke yeyote humu ameshawahi kukutana na hali kama hii? Ulifanyaje?
 
senior member katika ubora wako
 
hahahaha

hahahaha

hahahaha

eti sura ngumu.... najua hili halina uhusiano na kabla ila niambie wewe ni mnanii eeeh? maana ndiyo wanapenda wanaume weusi warefu ila anataka mtoto shombeshombe.

haha
 
unataka jini nikupeleke wanakofuga?
 
Wewe umejishaurije kwanza!

Tupate maoni yako kwanza itakuwa vema sana maana inaonekana wewe mtoa mada unaongopa haiwezekani uolewe na mtu ambae sura yake huipendi!

Ulidhani baada ya ndoa kinachofata ni nini kama sio kuzaa??
 
Jamani napenda sana kuwa na mtoto shombe shombe ila ndio hivyo sijabahatika kuolewa na mtu wa hivyo. Nimeolewa na mtu mwenye sura ngumu kuanzia yeye mpaka familia yao yote mpaka naogopa zaa nae. Japo kila siku anakazania anataka mtoto ila ndio hivyo naogopa. Nampenda sana ananipenda pia amani treat kama queen ila hmmm nikifikiria kuzaa nae moyo wangu unasita. Kuna mwanamke yeyote humu ameshawahi kukutana na hali kama hii? Ulifanyaje?
WHAT THE F**K IS WRONG WITH YOU ?
Mwanamke kama wewe ndio unafanya wanawake wengine waonekane wabaya. Kaka wa watu anakuchumbia, anatoa mahari, ana gharamika, leo ndio unamuona ana sura mbaya, leo ndio hutaki kumzalia sababu ana sura mbaya..?

Ulaaniwe mwanamke mpumbav.
 
Shombe shombe nini? Je ww ni shombe shombe au ni yule aliyeimbwa na Dudu baya kuwa Nakupenda tu
 
Ivi Laurance Masha ni Shombe shombe??.

Kweli weee nikademu kanakoendeshwa na mwili tu.

Kwahakika, ukistaajabu Ya Musa utaona ya firauni.

WEWE SEMA IVI, UMEWEKA TANGAZO KWASABABU UNAJUA HUMU HUTOWEZA KUKOSA.

MUWE MNAYALIPIA MATANGAZO NA KUWAMBIA KUPIMA NILAZIMA....
 
hahahaha

hahahaha

hahahaha

eti sura ngumu.... najua hili halina uhusiano na kabla ila niambie wewe ni mnanii eeeh? maana ndiyo wanapenda wanaume weusi warefu ila anataka mtoto shombeshombe.

haha
Hapo sasa Ndo ushangae Mkuu...
 
Back
Top Bottom