Itakua Dhiki Apate Auhuen Ya Maisha Si Bure Hapo...Ilikuwaje ukakubali kuolewa na mwenye sura ngumu kama ulikuwa unataka shombe shombe
Huna akili hata moja, muombe talaka akuache, ili utafute shombe shombe , ww humpend huyo sema unajichetua tuu, nenda zanzibar kule wapo shombe shombe wengi wakakutatue marinda, nyambafu zakoJamani napenda sana kuwa na mtoto shombe shombe ila ndio hivyo sijabahatika kuolewa na mtu wa hivyo. Nimeolewa na mtu mwenye sura ngumu kuanzia yeye mpaka familia yao yote mpaka naogopa zaa nae. Japo kila siku anakazania anataka mtoto ila ndio hivyo naogopa. Nampenda sana ananipenda pia amani treat kama queen ila hmmm nikifikiria kuzaa nae moyo wangu unasita. Kuna mwanamke yeyote humu ameshawahi kukutana na hali kama hii? Ulifanyaje?
Tangu uweke uzi umepotea!Jamani napenda sana kuwa na mtoto shombe shombe ila ndio hivyo sijabahatika kuolewa na mtu wa hivyo. Nimeolewa na mtu mwenye sura ngumu kuanzia yeye mpaka familia yao yote mpaka naogopa zaa nae. Japo kila siku anakazania anataka mtoto ila ndio hivyo naogopa. Nampenda sana ananipenda pia amani treat kama queen ila hmmm nikifikiria kuzaa nae moyo wangu unasita. Kuna mwanamke yeyote humu ameshawahi kukutana na hali kama hii? Ulifanyaje?
KUNA UZI NIMEOSOMA LEO HUMU UNATAHADHARISHA WANAUME......"USIOE USIOE USIOE....WANAWAKE WENYE SIFA HIZI" NAONGEZEA NA YAKO .....MKE MWANAMKE ANAEWEZA TAMKIA MPENZIWE/MUMEWE PUBLICLY SITAKI KUZAA NAE KWA SABABU YOYOTE ILE.Jamani napenda sana kuwa na mtoto shombe shombe ila ndio hivyo sijabahatika kuolewa na mtu wa hivyo. Nimeolewa na mtu mwenye sura ngumu kuanzia yeye mpaka familia yao yote mpaka naogopa zaa nae. Japo kila siku anakazania anataka mtoto ila ndio hivyo naogopa. Nampenda sana ananipenda pia amani treat kama queen ila hmmm nikifikiria kuzaa nae moyo wangu unasita. Kuna mwanamke yeyote humu ameshawahi kukutana na hali kama hii? Ulifanyaje?